Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
Habari zenu wakuu!
Kwa ambao wanasoma UDOM
Wwamesema kwenye web kuwa supp ni kwa mwaka wa kwanza pekee yao, sisi mwaka wa pili tunafanya lini na inahusisha ngazi ya certificate adi masters?
Msaada wadau.