Supermarket ya Kichina

Supermarket ya Kichina

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,453
Reaction score
8,439

Hivi ni baadhi ya vyakula na vinywaji vinavyopatikana kwenye maduka makubwa(supermarkets) za Kichina. Mojawapo ya maduka haya maarufu ni Walmart. Je, ni chakula au kinywaji gani ungependa kukitumia kati ya hivi hapa?

Wal mart.jpg







1.Crocodiles.jpg

2. Frogs.jpg

3. Snakes.jpg

4. Sharks.jpg

5. Meat water.jpg

6Horse milk.jpg


7. Diet water.jpg
 
Nimepoteza appetite tayari.ningejua ningepita
 
Mnataka kutuiga sisi wa full tank tunapa wapi? wakati huna uwezo wa kununua mboga ya milioni moja tu? thats why mnatetemeka hadi mnaishiwa nguvu. Katerero ni kwetu tu, sisiambao majina yetu hayatokei kwenye kwenye machupa ya Coca Cola, ila yanatokea kwenye Heineken
 
sina mpango wa kuingia humo ndani niache niende zangu
 
Back
Top Bottom