Super-moon: Kuonekana Leo baada ya miaka 68

Nikiripoti kutokea mtwara mwezi unang'aa sana ila sio mkubwa sana
 
Hata dar unaonekana vizuri na mwanga ni mkali.
 
Hata mm naona, uko karibu na Mbezi Beach kabisa..
 
Kupwaa na kujaa kwa maji kukoje sasa hivi huko baharini? Kuna uhusiano?
 
Tunaishukuru serikali kutuletea supermoon hapa kwetu Tz. Serikali yetu kwakweli inafanyakazi vizuri.

Tunaomba iendelee na moyo huo huo na kila mwaka ituletee Mwezi karibu. Asanteni sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…