anne makinda kapata habari?......mmoja wa wamiliki
Poleni majeruhi wote, Mungu awaponye majeraha haraka.Gari ya super feo iliyokuwa inatoka dar kwenda songea imepata ajali karibu na ifunda.haijaua lakini kuna majeruhi
ni share tu mkuu mbona anaejiita mtoto wa mkulima ana hisa kwenye mabasi ya SUMRY.Aaah mkuu'ni kweli?siwezi kuamini kama ana uwezo wa kumiliki mali kama hizo
Emanuel Nchimbi naye amepata taarifa ni mmoja pia ya wamiliki....ila duh ntakuwa nasafiri na nn na mm hilo ndiyo basi langu.anne makinda kapata habari?......mmoja wa wamiliki
Emanuel Nchimbi naye amepata taarifa ni mmoja pia ya wamiliki....ila duh ntakuwa nasafiri na nn na mm hilo ndiyo basi langu.
anne makinda kapata habari?......mmoja wa wamiliki
naona sumatra iko bize kuifungia dar express?
Waliokuwa kwenye ajali wanasema chanzo ni tuta la barabarani ambalo dereva aliliingia kwa speed japo wanasema gari haikuwa kasi sana.Hakuna Mtu anapenda Ajali, ni bahati mbaya tu, Ingawa bahati mbaya zingine ni ngumu kuzielewa.
Kwa jinsi ninavyofahamu super feo huwa zinakimbia balaa. Bila shaka tatizo ni mwendo kasi.
Ni amri kutoka kwa baba Riz zero