Itatusaidia sana pia sisi wa Njombe na Makambako maana Another G na Hood zinasuasua
Hongera kwa super feo express kuanzisha hii safari ya Songea na Dodoma kila siku.
Kwa mujibu wa maelezo yao wanasema safari utaanza saa 12 kamili ya asubuhi na kufika kuanzia saa kumi na moja na dakika kumi ya jioni.
Japo sijajua kama wataitumia njia gani kati ya Morogoro(Msamvu) au ya Mtera,ila ni uamuzi mzuri sana.
Hongera Super Feo
Na aje super feo another G kweli anaweza short routes maka to Njombe basimkuu hii route ya njombe to dodoma unajua ni mpya na another G hana uzoefu saana na route za mbali.inatakiwa awe mvumilivu baadaye kitachanganya tu.