Super dagaa (nyama nono)

Super dagaa (nyama nono)

melibam

Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
52
Reaction score
143
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri!!!

Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono

Nyama Nono ni dagaa wanaoandaliwa na kukaangwa wakiwa wabichi kabisa kutoka ziwani

Dagaa hawa wanawekwa viungo vyote muhimu, mfano tangawizi, Limao, vitunguu Swaumu, na pilipili (kwa maelekezo ya mteja), pia kama kuna viungo zaidi mteja anahitaji viongezwe vinaongezwa, hii ni katika kumsikiliza mteja na kumpa kitu anachokitaka

Bei ya dagaa hizi ni rafiki kabisa,

Sado moja ni Tsh 15000/-
Ndoo moja ni Tsh 75000/-

Tunapatikana Mwanza mjini, pia mkoa wowote tunasafirisha mzigo kwa uhakika na uaminifu mkubwa

Mawasiliano 0623441247

Karibu sana tukuhudumie

Asanteh!!
Super%20dagaa(Nyama%20Nono)_Mwanza.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom