Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,877
- 141,465
- Thread starter
-
- #21
🤣🤣Nahuzunuka timu ninayoishabikia (Baltimore Ravens) imetolewa. Kwa sababu tumetolewa na Kansas City Chiefs, nitakuwa naishabikia San Francisco 49ers kushinda Lombardi trophy lol.
Ninaishi Marekani toka 1996. Hata kama hushabikii American football, hii mechi haiepukiki (kuanzia wiki moja kabla ya mechi). Hata news channels zinaizungumzia. Wamarekani zaidi milioni 100 kwa wastani wanaiangalia mechi. Kwahio hata kama timu yako imetolewa, huna ujanja, lazima uiangalie. Wasio wapenzi sana wa mchezo wanafuatilia kutokana na halftime show ambayo wanamuziki mashuhuri hutumbuiza (kwa mwaka huu ni Usher).
Kiufupi, nimeipenda Ravens kwa sababu hizi. Nilikuwa siujui kabisa huu mchezo kabla sijahamia. Baada ya miaka michache, nikaanza kuufuatilia. Nikawa naangalia hususani wakati defensive players kama linebackers na centers wanapowagonga (tackle) kwa nguvu wachezaji. Wakati huo Ravens ndio wanawasajili akina Ray Lewis na Ed Reed. Hawa ni kati ya wachezaji bora wa ulinzi kuwahi kucheza. Wakati huo, hamna sheria za kumlinda mchezaji. Na akina Ray Lewis walikuwa hawana masihara na ku tackle. Ndio mapenzi yangu na Ravens yalipoanza na ni mshabiki mpaka leo. Wanajulikana sana kwa defense, ilihali miaka ya hivi karibuni offense yao imekuwa nzuri pia kutokana na Lamar Jackson. Hopefully, we shall go all the way next season.
Go Ravens!!!
Sasahivi atapafom Usher? Hakuna wasanii wengine ni yeye tu?By the way, mi nitaangalia show ya Usher Raymond tu, haya mamipira ya kimarekani sijajui
Mmh Zulu kumbe unatema yai hivi loooo😫No doubt!!!!Sunday's our day.
Chiefs gonna roll in with that winning spirit and own the night..!
Si mimi ni Mods wamenisaidia kubadilisha maneno,wewe ni super Bowl fan or not really vibin' with it?Mmh Zulu kumbe unatema yai hivi loooo😫
Ni lini hii fainali mnayoongelea, nahitaj kujifunza kupenda kitu kipya niko konki na mpira, mieleka na movies.Nahuzunuka timu ninayoishabikia (Baltimore Ravens) imetolewa. Kwa sababu tumetolewa na Kansas City Chiefs, nitakuwa naishabikia San Francisco 49ers kushinda Lombardi trophy lol.
Ninaishi Marekani toka 1996. Hata kama hushabikii American football, hii mechi haiepukiki (kuanzia wiki moja kabla ya mechi). Hata news channels zinaizungumzia. Wamarekani zaidi milioni 100 kwa wastani wanaiangalia mechi. Kwahio hata kama timu yako imetolewa, huna ujanja, lazima uiangalie. Wasio wapenzi sana wa mchezo wanafuatilia kutokana na halftime show ambayo wanamuziki mashuhuri hutumbuiza (kwa mwaka huu ni Usher).
Kiufupi, nimeipenda Ravens kwa sababu hizi. Nilikuwa siujui kabisa huu mchezo kabla sijahamia. Baada ya miaka michache, nikaanza kuufuatilia. Nikawa naangalia hususani wakati defensive players kama linebackers na centers wanapowagonga (tackle) kwa nguvu wachezaji. Wakati huo Ravens ndio wanawasajili akina Ray Lewis na Ed Reed. Hawa ni kati ya wachezaji bora wa ulinzi kuwahi kucheza. Wakati huo, hamna sheria za kumlinda mchezaji. Na akina Ray Lewis walikuwa hawana masihara na ku tackle. Ndio mapenzi yangu na Ravens yalipoanza na ni mshabiki mpaka leo. Wanajulikana sana kwa defense, ilihali miaka ya hivi karibuni offense yao imekuwa nzuri pia kutokana na Lamar Jackson. Hopefully, we shall go all the way next season.
Go Ravens!!!
We abandoned what worked well throughout the season, which is a well-balanced offense (running and passing game).🤣🤣
Man, what happened to your Ravens?
They saw Patrick Mahomes and they froze!
And it’s not like the chiefs played super well.
They only scored 17 points. All in the first half. In the second half they didn’t score anything. And you still lost the game. What a letdown.
Lamar Jackson just ain’t that dude. The Ravens will never win the chip with him.
Fainali ni 02/11.Ni lini hii fainali mnayoongelea, nahitaj kujifunza kupenda kitu kipya niko konki na mpira, mieleka na movies.
Fainali ni 02/11.Ni lini hii fainali mnayoongelea, nahitaj kujifunza kupenda kitu kipya niko konki na mpira, mieleka na movies.
View attachment 2895994
All my NFL heads [not that many in here], it’s about that time.
It’s going down this Sunday, Las Vegas, Nevada baby.
So who y’all got? Bang bang Niner gang or the Chiefs?
Drop your comments down below and let us know who you’re rooting for.
Sunday couldn’t get here soon enough.
Then I’ll be depressed for the next 7 months 😀.
Chiefs by nature.......
Champions by choice......
Alrighty then! We shall find out come Sunday night.
Oh pole,you can't be putting hopes of victory on the all time champs,it ain't gonna fly like thatI was really hoping the 49s would win last night.
I can't stand KC.
The game was very close and going back and forth. The Chiefs won in the last 3 seconds of the game. In overtime.Oh pole,you can't be putting hopes of victory on the all time champs,it ain't gonna fly like that
It's all about strategy .The game was very close and going back and forth. The Chiefs won in the last 3 seconds of the game. In overtime.
Kinda luck of the draw.
Even as a win is a win.
It's all about strategy .
It's all about strategy .
Everyone's got a game plan,aiming for that victory but it ain't a guarantee you got the skills to bring it home...