Super bedroom

Waooow its nice

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Zinavutia sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
usingizi wake ni noma sana hasa sie maskini..
 
usingizi wake ni noma sana hasa sie maskini..

Unamkufuru mungu....na wale wasio na nguo za kuvaa wanataman walau wapate japo matambara wajistiri na wale ambao wanapitisha siku bila ya kupata rizki ya chochote kutia matumboni mwao tuwaite nani?

Mungu akusamehe.....shukuru kwa neema alokujaalia mungu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
at the end of the day... we meet somewhere together
 
vingi ni vyumba vya hoteli, kama sio vyote....
 

dah... ghafla tu nimeikumbuka bilila lodge kempinski serengeti, now called four seasons safari lodge...

moja kati ya hotel expensive sana Tanzania, wish to go there one day again..
 
Mambo yote city park kijitonyama..bilila sijui nini ni kujichosha tu
 
Tatizo kwa wale wenye nazo wanaweza kumiliki hizi starehe lakini wakalala mzungu wa nne no peace. Na pia mwingine masharti ya babu analala chini kwenye floor....
Nakipenda tu hiki changu hivihivi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…