Supa kasi Vodacom

wambura wa Itnd

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
374
1,000
Habari!

Nina mobile wifi ya Tigo kwa miezi 6 sasa kasi ya intaneti haijakidhi mahitaji(stationary ndogo desktop 5,smart tv 1 & simu janja 4) kuna huduma ya SUPA KASI kutoka Vodacom link:- Welcome : Home! yoyote mwenye uelewa na huduma hii anipe ufafanuzi based on experience!
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,641
2,000
Habari!

Nina mobile wifi ya Tigo kwa miezi 6 sasa kasi ya intaneti haijakidhi mahitaji(stationary ndogo desktop 5,smart tv 1 & simu janja 4) kuna huduma ya SUPA KASI kutoka Vodacom link:- Welcome : Home! yoyote mwenye uelewa na huduma hii anipe ufafanuzi based on experience!
hizo ni internet za Enteprise.
uzuri wake ni Unlimited kwa speed ilowekwa 10Mbps au 20Mbps.
Ukitaka jua speed ya internet unga kifurushi cha bei rahisi kwanza nenda OOKLA Speedtest ujionee kama ina perform vizuri

Kwa vifurushi vya vodacom vya kawaida ingia kwenye menu ya internet utakuta 38GB kwa 35,000/= au 60GB kwa 50,000/=
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom