S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,016 Aug 3, 2014 #1 Tafadhali kama una kimeo hicho tuwasiliane ili nikisapue. Tafadhalun sana. Pia mwenye non do za hiyo kitu ani pm ili nimpe email anifoadie. Tusaidiane
Tafadhali kama una kimeo hicho tuwasiliane ili nikisapue. Tafadhalun sana. Pia mwenye non do za hiyo kitu ani pm ili nimpe email anifoadie. Tusaidiane
Dindai JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 933 Reaction score 1,669 Aug 3, 2014 #2 NONIYANG'WAKA said: Tafadhali kama una kimeo hicho tuwasiliane ili nikisapue. Tafadhalun sana. Pia mwenye non do za hiyo kitu ani pm ili nimpe email anifoadie. Tusaidiane Click to expand... pole sana mkuu mungu akutangulie utaichomoa tu
NONIYANG'WAKA said: Tafadhali kama una kimeo hicho tuwasiliane ili nikisapue. Tafadhalun sana. Pia mwenye non do za hiyo kitu ani pm ili nimpe email anifoadie. Tusaidiane Click to expand... pole sana mkuu mungu akutangulie utaichomoa tu
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Aug 3, 2014 #3 Ha ha ha,hyo department noma sana kijana.me nashukuru mwaka huu ec 229 na ec 226 nimetoka salama.
keynessian JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 590 Reaction score 423 Aug 3, 2014 #4 Pole sana mkuu,, utachomoa tu,, nahis iyo ni applied econometrics
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,016 Aug 3, 2014 Thread starter #5 Perry said: Ha ha ha,hyo department noma sana kijana.me nashukuru mwaka huu ec 229 na ec 226 nimetoka salama. Click to expand... Hongera! Mie mwaka Jana nikaondoka na madesa yote.....ya 226 lkn nikabahatika. Mwaka huu jamaa kanitia adabu.
Perry said: Ha ha ha,hyo department noma sana kijana.me nashukuru mwaka huu ec 229 na ec 226 nimetoka salama. Click to expand... Hongera! Mie mwaka Jana nikaondoka na madesa yote.....ya 226 lkn nikabahatika. Mwaka huu jamaa kanitia adabu.
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,016 Aug 3, 2014 Thread starter #6 keynessian said: Pole sana mkuu,, utachomoa tu,, nahis iyo ni applied econometrics Click to expand... As ante mkuu. Mungu yupo upande wangu
keynessian said: Pole sana mkuu,, utachomoa tu,, nahis iyo ni applied econometrics Click to expand... As ante mkuu. Mungu yupo upande wangu