Sunset mjini MOROGORO.

Nilipiga juzi na ki HUAWEI changu, hapo ni katikati ya Mikese na Moro town.

Hii big treee ipo pale karibu na ofisi mpya za misitu kandokando ya moro-dar road ukikaribia kitunda sec school kule Kingolwira kuja Morogoro mjini
 
hapo ndio mahali pa kucheza tukunyema usiku wa manane
 
We fikiria mtu wa Tandale anunue li picha kama hilo la kazi gani?

Kweli bwana, sisi zetu huku uswazi ni kubandika picha za wanasoka ukutani, yani ukutwa mzima unafunikwa na magazeti.
 
Preta, umeshawekewa barrier ya kitaalamu! Kuna mbwa mkali huko!
 
Last edited by a moderator:

hahaha, wewe ni soo kaka, duh
 

wewe jamaa ni mwoga wa strangers sana
 
Picha nzuri... Tanzania tunamaliasili nyingi sana... Asante MUNGU kwa kunileta Africa...!!!!
 


Khaaa! hizi longolongo zote za nini? si useme tu ... ndio njoo au hapana usije.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…