Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,931
Mwenyewe nilienda kutalii mara moja tu kisha nikaondoka mkuu, lakini nakukaribisha kwa niaba ya wakazi wa MORO
Ayiiiii wewe........basi nitakuja huko kwako.......Kwani ni wapi.........?
Duuh..huyu jamaa aliyepiga hizi kama namfahamu ivi..ila picha ni nzuri sana
Mh! Haya karibu nyumbani DAR ES SALAAM, Ukishuka ubungo chukua tax mwambie akupeleke kinondoni, ukifika kinondoni chukua daladala ya kwenda Mwananyamala, ukifika huko chukua bajaj mwambie akupeleke makumbusho, ukishafika utakuta bodaboda pale, basi mwambie akupeleke Mwenge, ukishafika mwenge chukua daladala ya Kimara, utashuka Suca, chukua Noah ushuke kituo kinaitwa kinzudu kisha hapo mtafute mtoto yeyote akusaidie kuvuks mto, halafu upande wa pili utakutA usafiri wa punda, Panda hao punda mpaka kwa mchoma nyama utanikuta nakusubiri....!!
Mh! Haya karibu nyumbani DAR ES SALAAM, Ukishuka ubungo chukua tax mwambie akupeleke kinondoni, ukifika kinondoni chukua daladala ya kwenda Mwananyamala, ukifika huko chukua bajaj mwambie akupeleke makumbusho, ukishafika utakuta bodaboda pale, basi mwambie akupeleke Mwenge, ukishafika mwenge chukua daladala ya Kimara, utashuka Suca, chukua Noah ushuke kituo kinaitwa kinzudu kisha hapo mtafute mtoto yeyote akusaidie kuvuks mto, halafu upande wa pili utakutA usafiri wa punda, Panda hao punda mpaka kwa mchoma nyama utanikuta nakusubiri....!!™™
Ni mimi mkuu nilipiga mwenyewe na ka simu kangu, tena nimepiga huku gari iko katika movement, sasa kama unamfahamu basi atakua ni mimi.
Imetulia. ..
Hahahahaa kweli akufukuzaye hakwambii toka na akutukanaye hakuchagulii tusi, ndo hii hapa mweeh!! Ukazunguka hadi m/mala na huku waelekea kimara suka wakati umetokea ubungo looh!! Preta safari njema hehehee

Print upeleke Morogoro stores au Mwenge, wazungu wanaweza kununua. lol
Print upeleke Morogoro stores au Mwenge, wazungu wanaweza kununua. lol
Nilipiga juzi na ki HUAWEI changu, hapo ni katikati ya Mikese na Moro town.
Print upeleke Morogoro stores au Mwenge, wazungu wanaweza kununua. lol