ndio useme zipikufanya kazi
secretaryWewe binafsi uliomba kazi ipi?
Sasa secretary akafanye interview ya sales haujiuliziHabari, Naomba msaada wenu kwa wanao elewa kampuni ya sunda international group iliyopo kigogo inajishughulisha na nini na vipi pale unapoajiliwa unafanya kazi zipi nimeomba kazi ila interview ya kwanza ilikuwa trainee ya kwenda kuuza bidhaa je inakuwa ndio kazi yenyewe au huwa wanabadilishiwa na kupewa kazi za ofisini na kuacha hiyo ya kutembeza. Mawazo yenu ni muhimu na sio masimango, matusi na dharau. Asanteni
umeona mie mwenyewe nimeshangaa kuuliza wazoefu wananiambia napewa confidenceSasa secretary akafanye interview ya sales haujiulizi
Hapo hakuna usecreatary
ndio hivyoDuh,
Ndio unatembezwa Juani??
Aisee
Pole sana aiseendio hivyo
Hivi walikuomba CV? Au wewe uliwapa bila kuombwa? Maana wale hawahitaji vyeti wao wanakupa kazi waliyonayo na sio unayoitaka, kwa mchina kazi za ofisini zote wanafanya wenyewe sijui wewe watakupa ipi vinginevyo hapo ndio umefika, kila mmoja na laptop yake wanapiga kazi halafu Ni wasiri sana ndio maana hawataki wasaidiziHabari, Naomba msaada wenu kwa wanao elewa kampuni ya sunda international group iliyopo kigogo inajishughulisha na nini na vipi pale unapoajiliwa unafanya kazi zipi nimeomba kazi ila interview ya kwanza ilikuwa trainee ya kwenda kuuza bidhaa je inakuwa ndio kazi yenyewe au huwa wanabadilishiwa na kupewa kazi za ofisini na kuacha hiyo ya kutembeza. Mawazo yenu ni muhimu na sio masimango, matusi na dharau. Asanteni
kwa miguu yaani unatembea mitaa jana sehemu za gongo la mboto karibu yote tumeimalizaHamna kazi hapo unatambea kwa miguu au kwenye magari na mazigo yako ya kuuza
daa nimeamua kuingia mitaani niendelee kupambana na kibanda changupole rafiki wamekujuza hao sunda international
waliomba vyetiHivi walikuomba CV? Au wewe uliwapa bila kuombwa? Maana wale hawahitaji vyeti wao wanakupa kazi waliyonayo na sio unayoitaka, kwa mchina kazi za ofisini zote wanafanya wenyewe sijui wewe watakupa ipi vinginevyo hapo ndio umefika, kila mmoja na laptop yake wanapiga kazi halafu Ni wasiri sana ndio maana hawataki wasaidizi
kwa miguu yaani nilikuwa nahisi miguu yangu haipo kwa jinsi tulivyokuwa tunazururaHamna kazi hapo unatambea kwa miguu au kwenye magari na mazigo yako ya kuuza
taa za lontorHiyo kampun si ndio inajihusisha na utengenezaji wa sabuni ya unga jina limenitoka kidogo