WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
NAFIKIRI NI BUSARA ILA KABLA AYAJAFUTWA NAKUSHAURI ULETE MABASI YAKO KUYAREPLACE YAWE KM THELATHINI IVI TENA MAPYA NA YAWE SCANIA MARCOPOLo
wanakimbia sana,
safari za kahama na mwanza ni ndefu zinahitaji mabasi imara na sio
youtong ya kichina yale ya greenstar, wiki ile nilipanda toka mwanza,
tairi lilipasukia njiani, al manusura, tunashukuru Mungu. safari za
mbali hizo zinahitaji ndege wala si mabasi haya. ukiangalia mabasi ya
kanda ya ziwa toka dsm ni mabovu sana, hata sumri karibia anakufa. ni
kwasababu ni mbali mno kupeleka basi kule linakufa mapema kabla hujapata
faida, hivyo unaenda kwa kubangaiza tu ivoivo au la panda ndege.
ukiangalia mabasi ya mbeya songea iringa, arusha moshi etc ni mazuri ya
kisasa kuliko ya mwanza kahama anakoenda green star na hao wengine,
kwasababu maeneo hayo nimetaja ni mafupi kuliko kahama/mwanza.
Unaikumbika Scandnavia Express? (ScExp = Green Star) Unajua mmiliki na alipata wapi mapesa ya fasta akawa untouchable kila mahali anakiuka utaratibu na kujenga vituo binafsi hata ndani ya vituo vikuu kama Ubungo? Ukilijua hilo utajua kwanini SUMATRA hawawezi sema kitu wala traffic police. Period.Green Star ni untouchable wewe!
Hakuna mtu mwenye jeuri ya kuyasimamisha!
Route za kusini wanajaza watu hadi kusimama, lakini Sumatra wanawaruhusu, wakati mabasi mengine wanatozwa 250,000/= onspot.
Chezeya Bunge wewe!
SUMATRA wako DSM tu, huku mikoani hata nauli na trafic nao ndiyo kabisa na hawasimamii hawa, huku madongo kuinama tunabamizwa nauli, hatuna mtetezi
NAFIKIRI NI BUSARA ILA KABLA AYAJAFUTWA NAKUSHAURI ULETE MABASI YAKO KUYAREPLACE YAWE KM THELATHINI IVI TENA MAPYA NA YAWE SCANIA MARCOPOLo
yaani badala ushukuru mepona na deleva alikuwa makini ww unataka yafungiwe acha ushamba ww kwani mataili ni ya chuma yale yasipasuke panda trini basiwanakimbia sana, safari za kahama na mwanza ni ndefu zinahitaji mabasi imara na sio youtong ya kichina yale ya greenstar, wiki ile nilipanda toka mwanza, tairi lilipasukia njiani, al manusura, tunashukuru Mungu. safari za mbali hizo zinahitaji ndege wala si mabasi haya. ukiangalia mabasi ya kanda ya ziwa toka dsm ni mabovu sana, hata sumri karibia anakufa. ni kwasababu ni mbali mno kupeleka basi kule linakufa mapema kabla hujapata faida, hivyo unaenda kwa kubangaiza tu ivoivo au la panda ndege. ukiangalia mabasi ya mbeya songea iringa, arusha moshi etc ni mazuri ya kisasa kuliko ya mwanza kahama anakoenda green star na hao wengine, kwasababu maeneo hayo nimetaja ni mafupi kuliko kahama/mwanza.