1. nenda setting then about then software update check kama kuna update na pia make sure ume untick update via wifi ili uweze tumia mobile data kufanya update.
kama hakuna
2. kwenye pc yako download kies then conectt simu na pc kwa kutumia kies angalia update.
3. kama hakuna tumia hio odin, ila ni vizuri ukadownload rom za nchi zinazotumia kingereza maana hio ya brazili huenda ikawa ni ya kireno, japo unaweza change lugha ila inaweza kuchanganya.