sumsung galaxy tab 2 au tab 3

sumsung galaxy tab 2 au tab 3

sirma

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
33
Reaction score
3
natafuta sumsung galaxy tablet 2 au tab 3 original inayotumia sim card budget yangu ni 300,000 mwenye nayo ani pm au whatsap 0767251838 tufanye biashara.
 
huwez pata kwa bei hyo.labda ilyo crack...
 
Dukani inauzwa laki 9 na nusu,nnayo Tab 3 ina kila kitu chake kwenye box nnataka laki 5.
 
tafta tab3 lite na change inabaki. ila sidhan kama zishaanza kufika tz maana wiki 3 zilizopita ndio imetokA
 
natafuta sumsung galaxy tablet 2 au tab 3 original inayotumia sim card budget yangu ni 300,000 mwenye nayo ani pm au whatsap 0767251838 tufanye biashara.

Subiri zilizopigwa na mateja kwenye magari na hazina chaji
 
Back
Top Bottom