Wakuu wa kazi,salama?kuna Sumsung inanitoa ushamba.ni Galaxy Grand imeandikwa Duos,ajabu naona sehemu moja tu ya kuweka line.nipeni ufahamu wadau.Mashikolo mageni!!
mkuu simu ikishabeba line mbili kwangu mie huwa sii trust ..ila kama umenunua kwa authorized dealers is not a big story... wee wafike wakupe utaratibu mzima