Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,023
- 31,236
Samsung mnaipenda lakini yenyewe aiwapendi TECNO mnaichukia ila yenyewe inawapenda[emoji120]Hapo unatulazimisha kupenda kitu tusichokipenda na kutuambia tuache simu za kishoga unakosea sana ndugu. Ustaarabu ni busara
Sent using Jamii Forums mobile app