Msaada naomba mwenye kujua natumia sumsung galax s6 inasumbua kushika network zaman ilikuwa inashika vizuri lkn saivi inashika baadhi ya sehemu nikiwa nyumban haishiki nikienda mjin inashika kazini aishik nikihama eneo inashika nikabadili nikaweka line kwenye tecno j8 inashika full sehem zote sumsung inapokataa nifanyeje nimedata maana simu mpya nimejichanga kwa shida nikanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app