poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!

Champion!!
Nadhani ndiyo magari mabovu kuliko yote na yakimbiayo kuliko yote, na likimbiapo ndani unasikia makelele ya bodi tu, gari gani halijali matuta.
Niliwahi panda nikitoka Mwanza kwenda Dar, japo tulichelewa kuondoka Mwanza kwa dk 10, lakini tulikuwa wa kwanza kufika shy na Nzega.
Ilibidi nishukie nzega na kuchukua basi lingine then nikawataarifu Polisi kuhusu mwenendo wa basi hilo.