Pia na mimi kuna rafiki yangu kanipigia sasa hv kaikuta hapo wami, bado haijajulikana watu wangapi wamefariki, waokoaji wapo eneo la tukio wanajaribu kuokoa
poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!

Haya magari ya sumry mbona yanapata sana ajali siku hizi? Mwaka huu kuna Sumry nyingine kutoka Arusha kwenda Mby pia lilipata ajali na kuua abiria kadhaa.

Mtoa habari embu tupe tena mrejesho... wamefariki idadi gani?
Hizi ajali nyengine si za kawaida, zina mambo ya kishirikina.
Japo nyengine kweli zinasababishwa na recklessness of our drivers.