Tukubali baadhi ya Watanzania hasa wanaoshika madaraka na wafanyabishara ,lazima wafike miji hii ,kwa maana watafanikiwa!!!!
Namfahamu mfanyabiashara mmoja asili ya K'njaro,ambaye anaisha wilaya ya mkoa wa katikati ya Tanzania,alikwenda sumbawanga,baada ya hiyo
mambo yake yalikwenda vizuri.Maofisi watu wamespecialise bagamoyo.
Kwa hiyo Sheikh Yahaya akitabili ,tusiwe hypocritical.Kama wewe umekwenda huko sio mbaya ukatuma experience yako na utalaamu walionao
mambo yote kwetu gamboshitukubali baadhi ya watanzania hasa wanaoshika madaraka na wafanyabishara ,lazima wafike miji hii ,kwa maana watafanikiwa!!!!
Namfahamu mfanyabiashara mmoja asili ya k'njaro,ambaye anaisha wilaya ya mkoa wa katikati ya tanzania,alikwenda sumbawanga,baada ya hiyo
mambo yake yalikwenda vizuri.maofisi watu wamespecialise bagamoyo.
Kwa hiyo sheikh yahaya akitabili ,tusiwe hypocritical.kama wewe umekwenda huko sio mbaya ukatuma experience yako na utalaamu walionao
Sumbawanga, Bagamoyo, Tanga, Pemba kwa ujumla ni sehemu zilizo nyuma kielimu, kiuchumi na kimaendeleo katika Tanzania. Kama kweli hao wataalamu wao wana uwezo wa kuwapa utajiri wageni wa kutoka sehemu zingine za nchi, kwanini wasiwape wenyeji wa pale walipo ili wafanikiwe kibiashara, kisiasa, kielimu na kimaendeleo kwa ujumla? Halafu ukiwaangali hao wanaoitwa "mafundi" ni watu hoehae tu. Kwa nini wasijipe huo utajiri wao wenyewe? Au charity does not begin at home katika technology yao? Logic tells me it is all mumbojumbo and the believers are intellectually challenged.Unapotaja Sumbawanga na Bagamoyo kwa sasa unagusa uongozi wa juu wa nchi. Ili tread inoge inabidi uongeze Pemba na hapo utakuwaumekamilisha utatu mkamilifu Tz.
Haha unanikumbusha gamboshi.nilikuwa Mwanza miaka ya 80,shuleni tulikuwa tunaambiwa kuwa Gamboshi ni jiji linalojitegemea,umeme,usafiri etc,but cant seen with a naked eye.Ju ukweli huu
Bwana Nyemela,usipokubali tatizo,huwezi kutatua tatizo.Yes hizi ni imani mbaya,lakini ufact upo hata watu waliosoma !