Sumbawanga na Bagamoyo

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
66
Tukubali baadhi ya Watanzania hasa wanaoshika madaraka na wafanyabishara ,lazima wafike miji hii ,kwa maana watafanikiwa!!!!
Namfahamu mfanyabiashara mmoja asili ya K'njaro,ambaye anaisha wilaya ya mkoa wa katikati ya Tanzania,alikwenda sumbawanga,baada ya hiyo
mambo yake yalikwenda vizuri.Maofisi watu wamespecialise bagamoyo.

Kwa hiyo Sheikh Yahaya akitabili ,tusiwe hypocritical.Kama wewe umekwenda huko sio mbaya ukatuma experience yako na utalaamu walionao
 
Hii ni imani potofu na ndiyo maana kila kukicha utasikia albino kauwawa. Vile vile miji hiyo imebaki ni historia katika hizo imani. Je unafuatilia habari za shinyanga, mwanza, mbeya, mara na hata kagera, hii ndiyo mikoa inayo ongoza kwa vifo vya albino na vikongwe kwa imani za kishirikina.

Imani hizi za kijinga hazitupeleki popote na wala wakuna maendeleo utakayopata.
 
tukubali baadhi ya watanzania hasa wanaoshika madaraka na wafanyabishara ,lazima wafike miji hii ,kwa maana watafanikiwa!!!!
Namfahamu mfanyabiashara mmoja asili ya k'njaro,ambaye anaisha wilaya ya mkoa wa katikati ya tanzania,alikwenda sumbawanga,baada ya hiyo
mambo yake yalikwenda vizuri.maofisi watu wamespecialise bagamoyo.

Kwa hiyo sheikh yahaya akitabili ,tusiwe hypocritical.kama wewe umekwenda huko sio mbaya ukatuma experience yako na utalaamu walionao
mambo yote kwetu gamboshi
 
Bwana Nyemela,usipokubali tatizo,huwezi kutatua tatizo.Yes hizi ni imani mbaya,lakini ufact upo hata watu waliosoma !
 
Haha unanikumbusha gamboshi.nilikuwa Mwanza miaka ya 80,shuleni tulikuwa tunaambiwa kuwa Gamboshi ni jiji linalojitegemea,umeme,usafiri etc,but cant seen with a naked eye.Ju ukweli huu
 
Unapotaja Sumbawanga na Bagamoyo kwa sasa unagusa uongozi wa juu wa nchi. Ili tread inoge inabidi uongeze Pemba na hapo utakuwaumekamilisha utatu mkamilifu Tz.
 
Unapotaja Sumbawanga na Bagamoyo kwa sasa unagusa uongozi wa juu wa nchi. Ili tread inoge inabidi uongeze Pemba na hapo utakuwaumekamilisha utatu mkamilifu Tz.
Sumbawanga, Bagamoyo, Tanga, Pemba kwa ujumla ni sehemu zilizo nyuma kielimu, kiuchumi na kimaendeleo katika Tanzania. Kama kweli hao wataalamu wao wana uwezo wa kuwapa utajiri wageni wa kutoka sehemu zingine za nchi, kwanini wasiwape wenyeji wa pale walipo ili wafanikiwe kibiashara, kisiasa, kielimu na kimaendeleo kwa ujumla? Halafu ukiwaangali hao wanaoitwa "mafundi" ni watu hoehae tu. Kwa nini wasijipe huo utajiri wao wenyewe? Au charity does not begin at home katika technology yao? Logic tells me it is all mumbojumbo and the believers are intellectually challenged.
 
Haha unanikumbusha gamboshi.nilikuwa Mwanza miaka ya 80,shuleni tulikuwa tunaambiwa kuwa Gamboshi ni jiji linalojitegemea,umeme,usafiri etc,but cant seen with a naked eye.Ju ukweli huu

Ni vijiji vya kichawi, mtu wa kawaida huwezi kuviona, lakini ndani yake kuna watu wanaishi, wanapika na kulala. Vijiji hivi mara nyingi wenyeji wake ni misukule. Dar es Salaam kijiji kikubwa cha wachawi kipo PUGU inakisiwa ndani yake wapo watu wasiopungua 30,000.
 
"............Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu..."

Watakwenda huku na huko, watapewa madawa. lakini kama mwenye mvi asivyoweza kuzificha, ndivyo na mambo yao yatakavyowaozea machoni petu...wataanguka wakose hata mtetezi wa kuwainua...huh!
 
Bwana Nyemela,usipokubali tatizo,huwezi kutatua tatizo.Yes hizi ni imani mbaya,lakini ufact upo hata watu waliosoma !

Kikwete anatoka Bagamoyo; Pinda anatoka Sumbawanga na usisahau Pemba anakotoka Shein.!!! Kwa mafanikio ya hawa bado huamini tu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom