mgombea wa ubunge wa ccm amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa chadema, mwl. N. Yamsebo. Chadema tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri chadema itangazwe mshindi !
Si alisema atakubali matokeo?Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
Si alisema atakubali matokeo?
Safi wakombe...Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
CCM ndo Aish?
Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
Hawa wabunge nao, ukishindwa weka sahihi na songa mbele, maisha yanaendelea.