chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Ni mbwa mmoja mwenyewe tabia za kushangaza,
Mnyama huyu anapatukana mji wa Laela wilaya ya sumbawanga vijijini mbwa huyu kwa muda mrefu amekua na tabia ya kuhudhulia misiba yote inayo tokea mjini hapo,
Kitu ambacho kinawashangaza wakaazi wa eneo hilo ni kwanba mbwa huyu hua anajuaje misiba inayo tokea kila kona ya mji? Na kibaya zaidi hajulikani mmiliki wake ni nani?
Majuzi mnyama huyu aliwashangaza watu wenyeji na wageni waliokua wakiuaga mwili wa mzee mmoja maalufu sana baada ya kuona mbwa huyu amepanga foreni kwenda kuaga kama walivyo fanya binadamu, wakisimulia kwa undani baazi ya watu msibani hapo walisema mbwa huyo huambatana na waombolezaji hadi kanisani/msikitini na baadaye hutoweka msibani Siku ya matanga