Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,556
Sumbawanga Hakufai, Jana Show Ya Wasafi Haikumalizika Yote baada Ya Mvua Kubwa Kunyesha, Haijulikani Ilitokea Wapi 












anga lilikuwa jeupe kabisaKule Noma, Kuna Mbwa Kila Ukitokea Msiba Mtaani Lazima aende Nae Kupanga foleni Ya Kuuaga Mwilianga lilikuwa jeupe kabisa
Punguza KisugarHuu ni msimu wa mvua, kushangaa mvua imetokea wapi ni "utovu wa akili"

Kule Noma, Kuna Mbwa Kila Ukitokea Msiba Mtaani Lazima aende Nae Kupanga foleni Ya Kuuaga Mwili
Ahahahahaahahaahaha mkuu mbona Mbwa wa Bush aliaga mwili ?Kule Noma, Kuna Mbwa Kila Ukitokea Msiba Mtaani Lazima aende Nae Kupanga foleni Ya Kuuaga Mwili
Kwahiyo mvua haitakiwi kunyesha haswa miezi ya mvua za vuli? Acheni kuwa na imani za kishirikina kwa kila jamboSumbawanga Hakufai, Jana Show Ya Wasafi Haikumalizika Yote baada Ya Mvua Kubwa Kunyesha, Haijulikani Ilitokea Wapi![]()
diamond kadondoka na steji ...mpk sasa hawajasema kama kaumia au lah..



naona hawajaumia nimeona salaam kapost kuwa wapo poahahahahaha....afathar wako poa mungu mkubwaNimecheka sana pale Mbosso alipokua anawachungulianaona hawajaumia nimeona salaam kapost kuwa wapo poa
na kuanguka na jukwaa nako ni msimu wake?Mbona ni msimu wake huu kaka.........acha kuwaza kwa hapa basi