Sumaye: Wanaouawa, damu yao ndio hukomboa wengine

Hivi huyu ni mpizani wa aina gani? Hana chama mpaka leo.
 
Hivi huyu ni mpizani wa aina gani? Hana chama mpaka leo.

SUMAYE hataishiwa na kauli za kishamba, kweli mr. zero. eti wanauwawa ndiyo wanakomboa wengine. je yuko tayari sasa auwawe yeye ili kuwakomboa wengine?
 
Mbona na yeye afi damu yake itukomboe sisi hahahaha amejikusanyia viwanja huko moro akifa viwanja tugawane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…