Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,785
Amuambie mamviHayo ni maneno ya mh.Sumaye huko mkoani Geita wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo.
Mh.Sumaye amekemea mauji ya watu wenye mawazo tofauti.
Chanzo:ITV
Amuambie mamvi
Hayo ni maneno ya mh.Sumaye huko mkoani Geita wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo.
Mh.Sumaye amekemea mauji ya watu wenye mawazo tofauti.
Chanzo:ITV
Mie ningekuwa na mamlaka ningemkamata na kumfungulia kesi ya kutoa kauli za uchochezi
Ufe na wewe ili utukomboe wengine
Chuki zitakuua umfungulie kesi kakosA nini? Uchochez waujua ww