Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Sumaye usiwadanganye watanzania itueleze imelifanyia nini taifa? Ufisadi mwingi umetokea ukiwa PM ulifanya nini kuuzuia? Usitudanganye bhana....
Ikumbukwe ufisadi wa EPA, Meremeta, mwananchi gold, kiwira mine, kuuwawa tembo, mikataba ya madini kugawa maeneo ya uhifadhi Serengeti grumeti, ubinafshaji viwanda, nyumba za serikali kuuzwa.. sumaye alisimamia.
Hatudanganyiki....