Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

Siku zote huna akili! Kinana alichaguliwa na nani? Hivi Mwenyekiti wa CCM huwa anachaguliwa na nani? Aliyeshika nafasi ya pili wakati wa kumchagua JK kuwa mwenyekiti wa CCM alikuwa nani? Je wakati wa Mkapa?
Narudia tena, huna akili!

Kwa hiyo cdm wana copy paste "upuuzi" wa CCM?
Ndiyo maana hadi leo wananchi walio wengi wanawaona wasanii tu na siyo mbadala wa kweli wa hiyo CCM
 
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..

Kinana alishinda kwa kura ngapi? Zamani nikikuona mtu makini lakini sijui nani kakuroga? Agh
 
Maneno ya kingunge yale ya pumzi yanawarudia
 

Genius John Mnyika ana mapungufu gani hadi mtu aliyechoka kifikra kama sumaye ndio awe katibu mkuu wa Chadema?

If that should happen then mbowe must stay aside and Lowasa should take over as a CDM chairman.
 
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..

...katibu mkuu hua anachaguliwa na nani?!
 
Afu mnyika anakuja kusema eti yteuzi wa muhongo sio sahii vp huyo sumaye kuja kwao na kumpokea ni sahii?
 
Wote wa Chadema miaka yote ndio basi tena kweli inachekesha
 

Ni haki yake kikatiba na kikanuni..... Na anafaaa kbs
 
kwani Dr slaa kabla ya kuwa Katibu ya cdm nae si alitoka ccm na akafaa . kwamba uwezo wa sumaye kuwa Katibu anafaa japokuwa hata ningependa kuona watu wengine wasiotoka kaskazini kama msigwa ., waitara kubenea n.k
 
Chadema kimekuwa chama cha wapiga "madili" toka Dr. Slaa ajiondor kimepoteza mwelekeo. Mbowe ataisoma Namba...

Wakati Act Wazalendo inapaa, chadema inageuka kama debe lililotoboka
 
SUMAYE ni jembe

Anafaa sanaaaaaaaa kuwa katibu wa CDM

Mpeni nafasi na 2020 tunampa nchi huyo
 
Chadema lazima ijipange kimkakati. Nafasi ya Katibu Mkuu ni bora akapewa Salumu Mwalimu.
 
Ha ha ha ha ha
Watu wanapinga Muhongo wanashangilia Sumaye Kwikwi kwi kwi kwi
 
Day to day Chadema naiona kabisa inavyopoteza mwelekeo, masikini chama changu!!
 
hapo ni sawa kabisaaaa maana imeandikwa na ni lazima yatimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…