juma digo
Senior Member
- Jan 14, 2015
- 170
- 393
kwani siasa zina karne mkuu mi naona siasa ni zilezile ila mfumo wa ufanyaji kazi ndio hubadilika.Hiyo ilikua siasa ya karne ya ngapi mkuu

Wanaukumbi.
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amekubali ombi la viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, waliomchukulia fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kanda hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Baadhi ya viongozi hao waliojitokeza kumchukulia fomu Sumaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, Mwenyekiti wa chama hicho Ilala, Dk. Makongoro Mahanga na Mwenyekiti wa mkoa wa Pwani, Baraka Mwago.
Baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za Chadema Kanda Kinondoni jana, viongozi hao walielekea nyumbani kwa Sumaye maeneo ya Tondoroni Kiluvya, mkoa wa Pwani, kwa ajili ya kumkabidhi.
Baada ya kupokea fomu hizo, Sumaye alikubali ombi hilo na kuzijaza na kuahidi kurejesha leo katika ofisi hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari kijijini kwake mara baada ya kukabidhiwa fomu hizo na Waitara, Sumaye alisema ni wakati sasa wa kukipeleka chama hicho hadi vitongojini.
Waziri Mkuu huyo mstaafu alihamia upinzania mwaka jana katika harakati za uchaguzi mkuu akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hivi karibuni aliteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.
Sasa atagombea nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA kanda ya pwani, kwa heshima yake aliyokuwa nayo kwa nini Mbowe asimpishe awe Mwenyekiti wa Taifa.
Kwa kuwa unaangalia watu, nikizungumzia ideas huwezi kuona hata kama nimeweka Venn diagram mbele ya macho yako.John Quincy Adams siyo mtu?
Mitoto ya nje ya ndoa ina taabu sanateh! teh! hili zombie la lumumba bana, mwandiko wako tu inaashiria kiraza uliyekubuhu. sasa kama akili yako inajua ukuu wa chuo ni cheo cha heshima kuliko urais wa nchi, we si utakuwa mtu hai akili mfu!
Mitoto ya nje ya ndoa ina taabu sana