Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Was he erratic when he cancelled the CITYWATER contract? Was he erratic when he build all these shule za kata? how many schools were built after he left office?We note also that EL was the most erratic PM that ever walked the earth. I still shudder at the memory of his sudden decision to hire a firm to "make rain" over Mtera, and his propensity to throw his weight arround by impulsive firings!
Sumaye and EL were never good leaders, and they never will be. I wish they would simply retire and leave us alone.
Miaka 10 madarakani hata kwao hakukumbuka leo anataka madaraka ili iweje apeleke njaa zake huko wapiga kura ndo wameamua
Sumaye anataka kushindana na EL, hawezi kufanikiwa. The guy was PM for ten yrs and did absolutely nothing for this country. EL did a better job in his two years as PM . Sumaye falls in second place as the most incompetent PM after Pinda.
Was he erratic when he cancelled the CITYWATER contract? Was he erratic when he build all these shule za kata? how many schools were built after he left office?
may be...anaweza kupelekwa re-education camp kua de-briefed.chadema mtampokea sumaye kweli?!!
Was he erratic when he cancelled the CITYWATER contract? Was he erratic when he build all these shule za kata? how many schools were built after he left office?
Shule za kata ni sekondari za aibu. Kumbe kuna watu wanazijivunia? Najua viongozi hawazioni ni kitu ndio maana hakuna hata mmoja anayekubali watoto wake wasome huko.
To start schools with neither teachers nor desks is extraordinarily erratic!
Shule za kata ni sekondari za aibu. Kumbe kuna watu wanazijivunia? Najua viongozi hawazioni ni kitu ndio maana hakuna hata mmoja anayekubali watoto wake wasome huko.
To start schools with neither teachers nor desks is extraordinarily erratic!
Watanzania mnapenda sana siasa, majigambo na sound bites nyingi...niambie wakati wa sumaye kulikua na crisis gani ya leadership hadi PM awe visible sana..serikali ya Mkapa ilijipanga, ilikua na nidhamu atleast kwenye majukumu yake ya kawaida na hamna mtu mmoja aliyekua anajipigia milege za kisiasa kijinga jinga...sasa huu uswahili wa JK unamfanya EL aonekane bonge la kiongozi. Niambie cha maana alichofanya EL ni nini? au kwa sababu alikua kwenye tv kila siku na magazetini as a part of his 2015 propaganda ya kurithishwa kiti.
Kwa hiyo kwako wewe kiongozi mzuri ni wakati wa crisis tu? kama hiyo ni argument yako basi maisha ya Mtanzania mbona ni crisis tupu toka asubuhi mpaka anaenda kulala, 24/7. Umeme, usafiri, matibabu, maji, umasikini, matumizi yasiyo ya lazima [awamu yao ilinunua rada, ndege ya rais , unakumbuka 'hata nyasi lazima tule'?],manyanyaso ya polisi, ukosefu wa ajira na majanga mengine kibao. Hizi ni criss tosha za kumfanya Sumaye ashindwe hata kulala usingizi...lakini alifanya nini?
mtakalia kupigia makofi city water wakati mtu yeyote ndani ya ile wizara angechukua uamuzi ule ule tena bila ya kutengeneza kadili ka $12 mil akishirikiana na kina Mkono..
Hayo unayosema wewe siyo crisis ni matatizo ya kijamii na kiuchumi ambazo tanzania kama nchi maskini imekua nazo toka uhuru na bado itakua nazo kwa miaka mingi tu ijayo..problems na crisis are two distinct things.
nimesema leadership crisis kama hii tuliyonayo sasa ambayo imemuexpose PM Pinda na viongozi wenzake wengine wengi vibaya hadi kukufanya wewe na wenzako wenye mawazo kama yako kufikiria kuwarate maPM waliopita kua huyu ni bora kuliko huyu.
Exactly! Tanzanians as long as we think along this way (that kiongozi huyu ni mzuri kwa sababu alifanya kitu hiki au kile hata kama hakina manufaa ya kweli kwa jamii zaidi ya kuonekana kwamba kafanya kitu) we'll always get leaders we deserve..