Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Na Ehud Barak wa Israel utasemaje?
Mangula ni CCM kwelikweli!!!
kwani ni lazima kuwa mjumbe wa nec? Jamani hivi miaka 10 ya ukuu bado tu kuna watu wanafikiria uongozi tena kama ni hivyo basi tanzania kuna fursa nyingi sana za kula tu pindi unapokuwa kiongozi.mi ningefikilia labda huyu mh. Kwanza angemsapoti mama nagu,ok fine kapambana naye so kukubali kushindwa kuna nini kwani? Au mpaka kupasua bomu.siku zote inteligent people ignore things and forget.still kuna fursa nyingi tu sio mpaka nec ya ccm.
Hata Kigwangala aliahidi kuongea na wanahabari siku ile baada ya mtifuano, then akalala mbele. Wengine wakaahidi kuvuana magamba hadi wakapeana siku 90, zilipoisha wakalala fronti bila maelezo ya maana kwa jamii! Kwa mwanasiasa wa TZ si lazima sana kutimiza ahadi yoyote unayoitoa kwa watz, na mambo yanaendelea kukunyookea tu. Hiki ni kisiwa cha amani bana ingawa neno amani ni pana sana.
Pinda anafuga nyuki kwa manufaa yake..amesaidia nini Watanzania.worse PM Tanzania ha ever had, bora pinda anafunga nyuki na kulamba lamba asali kwenye tv