Sumaye kaanza lini kuwa mtu makini fisadi yule... CrapMHHH??SIDHANI KAMA SUMAYE ANATAKA URAISI ILA NAFIKIRI NI MMOJA YA WATU MAKINI WALIOBAKI CCM AKITANGAZA KUONDOKA NITAFURAHI SANA
aje CDM ananafasi na bado ana nguvu
Sumaye kaanza lini kuwa mtu makini fisadi yule... Crap
Kukutana na waandishi wa habari leo saa 5.00 asubuhi katika hotel ya courtyard Hotel jijini dar es salaam
Source: Tanzania daima
MHHH??SIDHANI KAMA SUMAYE ANATAKA URAISI ILA NAFIKIRI NI MMOJA YA WATU MAKINI WALIOBAKI CCM AKITANGAZA KUONDOKA NITAFURAHI SANA
aje CDM ananafasi na bado ana nguvu
Hizi ni porojo zisizo na ushahidi! Thibitisha kwanza.
Sumaye hawezi kuondoka ccm watamuweka kweli listi ya kushughulikiwa na al shababhasa huu mradi wake wa Loliondo unamjenga sana kisiasa. Ndo maana Mtanzania na magazeti mengine uchwara hayaishi kuhubiri ya Loliondo. Wenye akili, macho na masikio tunafuatilia kwa makini, tunaona na kusikia vema.
tunasubiri tu siku ya loliondo yatakapoanza kutumika kama turufu ya kisiasa. time will always tell
sumaye nae mchafu tu,mi simuoni msafi hapo,acheni kumpigia chapuo!kwani wakulima wa mvomero waliporwa mashamba na nan?
Watu wakini?
Hivi sio huyu nilisikia enzi hizo alivo maliza mda wake kuwa ana trilion11 ambazo haijulikani zilipo?
Leo msafi au kwa kuwa alikaa kimya mda mrefu?
Ngoja arudi tena,niliambiwa hata kama huwajui wazazi wako ingia kwenye siasa,watu wanajua kila kitu kuhusu wewe na utakisikia!!!!
JK kageuza UVCCM mdomo wake mwingine wa kusemea wenzake, sasa Sumaye naona anataka kuwatolea uvivu UVCCM hivyo indirect atakuwa amemtolea uvivu JK! Usiniulize je hana nafasi ya kumshauri kama kiongozi mstaafu, jiulize kwa nini JK ageuze UVCCM mdomo wake mwingine wa kusemea?hawezi kung'oka ccm hata iweje....anaendeleza tu nipasho yao na uvccm
Rula kama hizi ndiyo tunazohitaji, ukiwa mwana JF ni lazima ujifunze kuwa na kumbu kumbu za matukio mengi ili usije shusha heshima yako bureee.Wewe badili jina, huwezi kuitwa speaker halafu ukawa mjinga. Apropaganda against Sumaye unazi,eza nzima nzima bila kuchambua. Waziri Mkuu wa Tanzania awe na trilioni 11/- kaziiba wapia kwenye nchi ambayo haina hizo hela? umesahabu gazeti lililoandika mhariri akiwa Muhingo Rweyemamu lilishindwa kesi na kumlipa sh milioni 100, kati yake alitoa 5,000,000 akawapa Jukwaa la wahariri 'ili zitumike kuelimisha waandishi wajua maadili ya kazi yao.