Sumaye haeleweki anachosimamia


Ndesamburo na Mbowe nao walikuwa mafisadi?
 
this time ni madaliko kuanzia raisi ubunge na udiwani wacha wampizike
 
usishangae ndio maana anaitwa sifuri
 
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october

Hiki ni kipindi cha kampeini,kwa ujumla maccm yamepoteana ndio maana wamekuwa ni watu wanaotegemea zaidi nguvu ya wasanii,malori bika kusahau matusi
 

Mfumo mbovu was fisiem ndo unaodumaza nchi hi I,ila baada ya 25/10 tutakuwa tumeuzika rasmi
 
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october

Nyinyi ndiyo mnauchu wa Madaraka ndiyo maana mnajipangia kwenye Nchi ya wote mmeifanya Nchi ya CCM.
kwa Sumaye anagombea nafasi gani?
 

umesahau magufuri yuko serikalini lakini bado anashangaa watu wanauziwa dawa, viwanda vimekufa mgawo wa umeme, kila kitu anashangaa fisadi anashangaa nayeye yumo humohumo kwenye ccm sumaye alikuwa pm miaka kumi iliyopita
 

Kwahiyo unakili kuwa serikali ya ccm hakuna kitu ilicho deliver?😆😆 asante sana kwa kurufumbua macho ndio maana tumeamua kuifuta kabisa ccm
 

Lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa
 

Attachments

  • 1443860663251.jpg
    46 KB · Views: 70
Ndivyo mlivyo maccm mnawazaga matumbo yenu tu!

Kwani yeye Sumaye anawaza tumbo la nani sasa? alisema ccm ikimpitisha fisadi lowasa kuwa mgombea atahama chama! sasa kamfuata huko huko baada ya kununuliwa tena kwa bei ndogo inayomdhalilisha kabisa na yeye ndio amepewa kibarua cha kumsafisha huyo aliyemchafua kwa kumuita fisadi. Lowasa anawachezea akili sana watu wenye njaa kali.
 
Sio wewe tu mtoa mada ambae huelewi, hata Jakaya hajaelewa bado.
It's a complicated movie without subtitles...hard for pro CCM to understand.
However October 25 utaelewa, ukishindwa kuelewa utaona, usipoona utasikia.

TO HELL CCM.

Tunajiandaa kuwapa mkono wa buriani ccm
 

Attachments

  • 1443860893541.jpg
    67.8 KB · Views: 65
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…