Sumaye awe katibu mkuu Chadema

Sumaye awe katibu mkuu Chadema

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,555
Reaction score
14,811
Napendekeza waziri mstaafu Fredrick sumaye agombee ukatibu mkuu Chadema
 
Hahahahaahahha chadema sasa imechokaaAAAAAA NA

UKABILA NA UKANDAAA

Wewe hujachoka! una ujasiri kiasi gani?dhidi ya waliopendekezwa hapo juu makubwa gani umefanya au kuwa anomous
 
Mkuu Mr 0 kasema hana Chama ila yeye mwana mageuzi ndiyo maana haeleweki yeye yupo kimaslahi yake zaidi kuliko utumishi
 
Hana mvuto kisiasa na hana mvuto kwa wananchi wala ushawishi. Binafsi hajawahi kuongea jambo nikasema hapa sawa.
 
Mbona mihemko haiwaiishi? Uchaguzi ulishaisha...au ndio jinsi kutekeleza kauli mbiu ya HapaKazi tu. Nilifikiri kama kweli mna mapenzi mema na hii nchi mnngeacha kubwabwaja maneno mithili ya taarabu ktk jukwaa hili, na na kuanza kutekeleza kauli mbiu ya HapaKazi tu kwa kuchapa kazi, kuhimiza mshikamano, umoja wa kitaifa ktk kuleta maendeleo. Nilitegemea wanalumumba wangekuwa kwenye vijiwe vya wanamabadiliko kuhubiri amani, kuhimiza kufanya kazi na kuachana na ulofa kama wasemavyo, pia kuwa wa kwanza kupigana kuondoa ukabila, ukanda na udini. CHA AJABU MNAPALILIA MIZIZI YA UKANDA NA UKABILA, Hili limekuwa wazi hata kwa baadhi ya viongozi waliochaguliwa.
 
Hawezi kurudi ccm maana Si muumini wa Azimio la Zanzibar.
 
Back
Top Bottom