Ohoooooo!!!hahahhah, sisiemu ni ile ileee eeeeeeeeeeeee ni ile ileeeeeeeeeeeee
Ukitaka mambo yako au biashara zako zinyoooke uwe sisiemu
UNAMSUTA SUMAYE AKIWA ARUSHA MWAKA ULEEEEEEEEEEE???hahahhah, sisiemu ni ile ileee eeeeeeeeeeeee ni ile ileeeeeeeeeeeee
Ukitaka mambo yako au biashara zako zinyoooke uwe sisiemu
Katika mawaziri wakuu Bomu waliowahi kuvumiliwa Tanzania ni huyu.Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ameshangaa agizo la mkuu wa wilaya ya Ubungo la kutaka akamatwe
Ameseam serikali inataka kukatisha tamaa mipango ya Chadema lakini hawataweza, wataleta vurugu zisizo na msingi
Amedai wao walikuwa wanatembelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na madiwani wa Chadema kwa faida ya wananchi na kama CCM wanavyofanya na kuhoji hilo ni kosa kwa misingi ipi
Mkuu wa wilaya na waziri mkuu mstaafu wapi na wapi! Kwanza si itabidi akamatwe Mlinzi wake ambaye ni mtu TISS?nadhani mkuu wa wilaya kateleza pale