Sumaye asema mchimba kaburi hachoki lazima amalize



Acha kuweweseka na kutoka mapovu, punguza jazba.

Ukisema wabebwa una maana wale waliomchagua ni punguani?????

Wana vigezo vya kutosha ndio maana walichaguliwa.

Changia mada acha kuweweseka. CCM siyo baba yako na siyo mama yako.

CCM ilianza na inakuwa na mwisho, hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho. na mwisho wa CCM ndio huu mwaka wake.

Nadhani wewe ni mjumbe wa Nyumba kumi hapo mtaani kwako, hivyo hiyo bendera ya rangi ya kijani yenye nembo ya jembe na nyundo, iweke kabatini kwani kuanzia tarehe 26/10/2015 haina maana tena, ni sawa na Toilet paper tu hiyo.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 

Acha kupigia debe uchawi na USHIRIKINA Yesu ameamua kuwakomesha, uchawi hauna nafasi tena nchini, unapigia debe hirizi? duh!
 

wacha upumb.avu wewe mimi ni muislamu na ninapiga kampe msikitini kimya kimya sababu ninayowapa wamedanganywa na mahakama ya kadhi na bakwata imeanzishwa na ccm kwa lengo lao maalum na wananielewa kura kwa ukawa
 

zibamasikio alafu kalale amkaa after 25th october 2015, cheers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…