Sumaye afichua siri nzito za CHADEMA kukabiliana na Magufuli

Vijijini ambako asilimia 80 ya watanzania wanaishi sukari sio kipaumbele kwao wala sio wanywaji wa chai wala uji kwao sukari ni illelevant product inanywewa na Wagonjw wakilazwa hospitali tu Ndio unampelekea mgonjwa uji au chai chenye sukari lakini 80 per cent ya watanzania hawahitaji sukari ni only 20 percent ya wakazi wa mijini
Kwa hiyo mkiambiwa ccm imewafanya watanzania kuwa masikini zaidi ya miaka 50 mbona mnakataa.
Imefikia kama ulivyosema kuwa watu wa kijijini sukari kwao ni anasa.
Aibu imewafika unaficha kichwa mkia unaoneananaone
 
HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefichua siri nzito kwamba kina program maalum kwa ajili ya kupambana na kandamizaji wa demokrasia unaofanywa na Rais John Magufuli

Siri hiyo imedokezwa kwa MwanaHALISI online leo na Mjumbe wa Kamati Kuu Frederick Sumaye.

Sumaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani ya Chadema, alisema chama hicho hakijakaa kimya kama inavyoonekana na kwamba ipo program maalum ambayo anaamini itasaidia kupambana na ukandamizaji huu.

”Kama Rais Magufuli hataki sisi tufanye siasa ni aje ni mapngo maalum wa kufuta mfumo wa vyama vingi hapa nchini,” alisema.

”Lakini ilimradi hathubutu kufuta vyama vya siasa ni lazima tuendelee kufanya siasa,” amesema Sumaye.

Amesema program hiyo inaratibiwa na chama na kwamba muda siyo mrefu anaamini kwamba wataendelea kufanya siasa hapa nchini.

Ameongeza kuwa licha ya kuwapo program hiyo ya kukabiliana na matatizo haya ya ukandamizaji wa demokrasia unaofanywa na Rais Magufuli, lakini pia italenga kukieneza chama kwa Watanzania.

Sumaye ambaye alishika nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa miaka 10 mfululizo, amesema hawapo kimya na kwamba pale wanapominywa watahakikisha wapaza sauti zao kwa kusema.

Kuhusu Madiwani wa Chadema kuhamia CCM, Sumaye amesema siasa hizo zimepitwa na wakati na kwamba kinachotakiwa kufanywa na CCM siyo kurubuni viongozi wao na kuwachukua bali kufanya vitu ambavyo vitawavutia Watanzania wakipende.

”Kazi inayotakiwa kufanywa na CCM ni kuimarusha chama hicho na siyo kuchukua madiwani ama viongozi wengine kwa kudhani kwamba ndiyo wanadhoofiha vyama vingine vya upinzani.

Amesema CCM kwa sasa hakifanyi siasa bali kinajivunia dola ambayo inawabeba na kwamba mwaka 2020, lazima kiondoke madarakani.

”Badala ya kutatua matatizo ya wananchi wao wananunua madiwani ili kionekani kina nguvu,” amesema
Kinachofanya chama kiwe na nguvu ni kutatua matatizo ya watu na kwa sasa watu wanaogopa kusema kwa sababu ya hofu ya dola na siyo kitu kingine.

Kuhusu kudumisha umoja wao wa Ukawa, Sumaye amesema wana mipango mingi ili kuhakikisha wanamsaidia, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad.

Amesema lengo serikali kumsaidia Ibrahim Lipumba ni kutaka kudhoofisha chama hicho pamoja na Ukawa na kwamba wamegundua hilo na wamejipanga kukabiliana nalo.

Ameongeza kuwa lengo ni kumdhoofisha Maalim Seif kwa sasabu wanajua CCM haiwezi kushinda uchaguzi kwa upande wa Zanzibar.

Sisi watanzania tunaompenda Rais wetu na tunaoipenda nchi yetu hakika itafikia mahala tulazimike kuungana na Rais wetu kukabiliana na wewe Mzee Sumaye na team yako yote. Haiwezekani kila wakati mnawazia kumkwamisha Rais wetu na dhamira yake njema kwa nchi yetu. Mhe. Sumaye umekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 katika Serikali ya Awamu ya Tatu na mkamaliza awamu yenu mkapumzika.

Chonde chonde Mzee Sumaye, Lowassa na wengine wote, muacheni Rais wetu atekeleze aliotuahidi sisi Watanzania wanyonge. Tunahitaji elimu bora, maji, umeme, huduma za afya, barabara nzuri, na ulizi wa mali zetu na sisi wenyewe.

Inatosha!
 
Vyama vya siasa vinahitaji kutatua kero za wananchi za maji Elimu umaskini uliokubuhu nk sumaye bwege wananchi hawahitaji uhuru wa kuongea wala mikutano Ya hadhara bwege mkubwa wanahitaji
Solution Ya matatizo waliyonayo sumaye bwege na Chadema mibwege mnataka kutatua tatizo ambalo sio actual need Ya wananchi. Sumaye chadema wote wajinga Na mabwege
Ungekuwa karibu yangu alafu unaongea hivyo nakupiga vichwa 3,mateke ya tumbo 3,finga za mdomo 6 alafu nakung'angania hadi 2020 ndo nakuachia ukapambane na hali yako

Sent from my HTC Desire 516 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom