Habari zilizonifikia Punde kutoka maeneo ya kibamba anakoishi Waziri Mkuu Mstaafu ndg Fredrick Sumaye.Jana alifanya Sherehe nyumbani kwake na wapambe wake wakisherehekea kuangushwa kwa bwana Lowassa.Akijisifia kwa mbwemwe nyingiu baada ya kupata mvinyo alisema.."walikuwa wananiita Zero ila mmeona wenyewe mie niliweza kuhimili mikiki mizito na kukaa miaka kumi,anaglieni huyu ambaye hata robo ya muda wangu hajanifikia."
kulikuwa nma viongozi wanaandamizi wa serikali ambao ni watumishi wa umma na wabunge na makada waq chama tawala ambao walikuwa kambi ya Sumaye wakati wa Mchakato wa kupata Rais kwa tiketi ya CCM.
watu walikula na kuchoma mbuzi kusherehereka kuanguka kwa mtu aliyewamaliza.Wat goes around comes around.
Nina uhakika JK ataisifu Jambo forums wakati akitangaza baraza la Mawaziri.labda aone aibu ila ndio ukweli.Waandishi wote hata Mwanahalisi wanatoa Nws Hapa.Hapa sina budi kuisifu JF kwa kujitoa mhanga mpaka kuangunga mbuyu ulioota katikati ya njia...
Invisible tupo nyuma yako wewe na moderators wako, tunakuombeeni msichoke kuzikomboa akili na fikra zetu.
Na hii tabia ya kuweka kambi au kujiunga na kambi za bwana wakubwa fulani ni dalili za kifisadi na si dalili njema kwa nchi yetu.
Habari zilizonifikia Punde kutoka maeneo ya kibamba anakoishi Waziri Mkuu Mstaafu ndg Fredrick Sumaye.Jana alifanya Sherehe nyumbani kwake na wapambe wake wakisherehekea kuangushwa kwa bwana Lowassa.Akijisifia kwa mbwemwe nyingiu baada ya kupata mvinyo alisema.."walikuwa wananiita Zero ila mmeona wenyewe mie niliweza kuhimili mikiki mizito na kukaa miaka kumi,anaglieni huyu ambaye hata robo ya muda wangu hajanifikia."
kulikuwa nma viongozi wanaandamizi wa serikali ambao ni watumishi wa umma na wabunge na makada waq chama tawala ambao walikuwa kambi ya Sumaye wakati wa Mchakato wa kupata Rais kwa tiketi ya CCM.
watu walikula na kuchoma mbuzi kusherehereka kuanguka kwa mtu aliyewamaliza.Wat goes around comes around.
Nina uhakika JK ataisifu Jambo forums wakati akitangaza baraza la Mawaziri.labda aone aibu ila ndio ukweli.Waandishi wote hata Mwanahalisi wanatoa Nws Hapa.
JF ndio kikomo cha ufisadi.
mkuu semanao,lete ushahidi wa wizi wa sumaye.sio majungu tu,najua sumaye alifaidika na pesa ya posho za safari na ahsante za washkaji zake,hata mkuu pinda alishawahi kumsaidia ndugu yake kuingia foreign..sumaye hakuwahi kushiriki katika dili chafu kama za lowasa,mlipewa maneno ya chuki na kina lowasa,

sumaye famous qoute " ukiona mtu anatumia KALAMU kuingia madarakani,atatumia RISASI kukaa madarakani"
that famous qouete after latelly discovering that lowassa has already fixed him in favour of kikwete for presidency...lowassa ndio alikuwa mkuu wa propaganda na media kwenye kikwete 2005...from 1996...sumaye akashtuka late 2005!!
sumaye ana sababu zote za kushehereka!!
siasa ilivyo hawa wamaweza kuungana chini ya adui mmoja sasa..kikwete!!!
Mkuu Gembe, Heshima Mbele...
Kwa vyovyote vile... ukiacha uharamia Lowassa IS FAR BETTER than Sumaye...
By the way unavyopresent hoja yako kama uko kwenye kambi ya Sumaye... hata kama alikuwa ana usafi wa chumba cha kufanya operation ya Moyo... Sumaye alikuwa hana uwezo... Na kwa kweli nilimshangaa baada ya kumaliza term zake mbili kwenda kusomea management,,, nadhani ana-regret kwamba kipindi chote cha uongozi wake haja-practice proper management...
Nikupe analysis kidogo ya Mawaziri wakuu.
1. Nyerere - second to none in terms of quality job.
2. Salim - He was good, could perform better if he could have been head of state
3. Msuya - proper PM, he was strong, man of actions...
4. Warioba - The only PM, who practised PM role as per TZ consitution... (PM followup president directives/instrution to see if they have been implemented. PM role is not to pledge another promises in additional to what president has done... (good example was Malecela)
5. Moringe - Mzalendo halisi, but speed without control...(vita ya uhujumu uchumi) ili- i-cost serikali kwa miaka mingi kwa kulipa fidia
6. Rashid Kawawa - no comments
7. Malecela - practised presidency role while he was just PM
8. Sumaye - stayed long, but performance was extremely poor.
9. Lowassa - speed without control costed him, was not good on good governance...
10. Pinda - will be similar to Warioba... to some extent
Kasheshe, nimependa analysis yako.
Naomba kuuliza swali moja la kizushi;
Niliwahi kusikia kuwa pamoja na mambo mengine kuwa Mh Sumaye ana uwezo mkubwa wa kufikiria haraka na kupata ufumbuzi / jibu / mwelekeo kunapokuwa na tatizo (hasa katika vikao)?
Je, ni kweli?