Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 156
Habari zilizonifikia Punde kutoka maeneo ya kibamba anakoishi Waziri Mkuu Mstaafu ndg Fredrick Sumaye.Jana alifanya Sherehe nyumbani kwake na wapambe wake wakisherehekea kuangushwa kwa bwana Lowassa.Akijisifia kwa mbwemwe nyingiu baada ya kupata mvinyo alisema.."walikuwa wananiita Zero ila mmeona wenyewe mie niliweza kuhimili mikiki mizito na kukaa miaka kumi,anaglieni huyu ambaye hata robo ya muda wangu hajanifikia."
kulikuwa nma viongozi wanaandamizi wa serikali ambao ni watumishi wa umma na wabunge na makada waq chama tawala ambao walikuwa kambi ya Sumaye wakati wa Mchakato wa kupata Rais kwa tiketi ya CCM.
watu walikula na kuchoma mbuzi kusherehereka kuanguka kwa mtu aliyewamaliza.Wat goes around comes around.