Sumaye Achinja mbuzi na kufanya sherehe baada ya Lowassa kujiuzulu

Status
Not open for further replies.
Nitakupa mfano... kuna jamaa kule Shinyanga alimwambia waziri mkuu kwa wastani kila siku wanakufa ngombe x (sikumbuki figure)... waziri mkuuu (wakati huo Lowassa) akapiga algebra rahisi sana... akagundua kama hiyo number ni kweli basi ndani ya miezi miwili inatakuwa sawa sawa na ngombe mil. 17,,, ambayo ndiyo idadi ya ng'ombe wote nchini...

Sasa Mh. Lowassa alitambua hilo, lakini sijui kama Mh. FTS angetambua... anyway...

Wote tunawatakia mapumziko mema!!!

Kama haya ni kweli basi mara moja angeweza kugundua kuwa Richmond ni kampuni hewa,vinginevyo nazidi kuamini pasi shaka kuwa Richmond ni yeye na yeye ni Richmond
Kwa hiyo hata kama alikuwa mtendaji vizuri vipi,kwa ufisadi huu uliopelekea kupotea mabilioni ya shilingi na kuua watanzania wengi kimwili,kiroho na kiuchumi tayari amepoteza sifa zozote nyingine nzuri,anachostahili sasa ni lupango tu na muflisi.
 
Nina uhakika JK ataisifu Jambo forums wakati akitangaza baraza la Mawaziri.labda aone aibu ila ndio ukweli.Waandishi wote hata Mwanahalisi wanatoa Nws Hapa.

JF ndio kikomo cha ufisadi.

Sumaye alikuwa na usongo wa aina gani ?
 
Kwa kweli mimi nafikiri mawazo yako inabidi uya-negate kupata ukweli wa Mh. FTS...

Hata hivyo comments kama hizo zinaweza kuwa zimetoka kwa watu wa tawala za mikoa na serikali za mitaa, kwa kuwa Waziri mkuu ana-deal na hawa kwa urahisi sana..

Huenda ndio maana Mh. Lowassa alikuwa hakubaliani na taarifa/ripoti nyingi za mikoani kwa kuwa zilikuwa za kisiasa zisizokuwa na tangible things/deliverables...

Lakini Mh. Sumaye ndio aliwajenga hao waheshimiwa wa mikoani/wilayani/halmashaurini kusoma ripoti za kisiasa kwenye mambo ya serikali...

Nitakupa mfano... kuna jamaa kule Shinyanga alimwambia waziri mkuu kwa wastani kila siku wanakufa ngombe x (sikumbuki figure)... waziri mkuuu (wakati huo Lowassa) akapiga algebra rahisi sana... akagundua kama hiyo number ni kweli basi ndani ya miezi miwili inatakuwa sawa sawa na ngombe mil. 17,,, ambayo ndiyo idadi ya ng'ombe wote nchini...

Sasa Mh. Lowassa alitambua hilo, lakini sijui kama Mh. FTS angetambua... anyway...

Wote tunawatakia mapumziko mema!!!






Kwa ufuatiliaji na msimamo Tulwai ni kichuguu na Ngoyai ni Mlima;miaka kumi ya "bora kiongozi" ni alama ya aibu si ushujaa. Shida ni hii ya uharamia na vamiavamia ya Ngoyai. Sijasoma ripoti ya Mwakyembe kwa kina hivyo nasita kusema wazi endapo kuna mahali inapomtaja moja kwa moja Ngoyai kuhusika/kupewa chochote (pamoja na kunyimwa haki ya kusikilizwa), lakini nadhani Tulwai ukimuundia Nusu-mwakyembe tu, atahamia morogoro si kibaha tu...hili la EPA laja. Hivi kweli wananchi tulioliwa miaka kadhaa ya uwaziri mkuu wake, wanajifunza nini wanapomuona "Zero" anachinja mbuzi?!kushangilia yeye alikula salama? Ya EPA na TICTS nayo hayamuhusu? Ya DEEP GREEN na Mwananchi Gold pia si yeye alikuwa Waziri Mkuu? ZERO anadhani aliyeshikwa na mfupa ndiye aliyekula nyama,..kwa haki kutendeka tulwai naye atuambie zile nyama zilivyoenda chini yake...
 
Wanasiasa wote wanachotaka ni madaraka ili wapate kutunyonya vizuri, huyu Sumaye hana jipya bahati yake tu hatukushtuka.
 
Habari zilizonifikia Punde kutoka maeneo ya kibamba anakoishi Waziri Mkuu Mstaafu ndg Fredrick Sumaye.Jana alifanya Sherehe nyumbani kwake na wapambe wake wakisherehekea kuangushwa kwa bwana Lowassa.Akijisifia kwa mbwemwe nyingiu baada ya kupata mvinyo alisema.."walikuwa wananiita Zero ila mmeona wenyewe mie niliweza kuhimili mikiki mizito na kukaa miaka kumi,anaglieni huyu ambaye hata robo ya muda wangu hajanifikia."

kulikuwa nma viongozi wanaandamizi wa serikali ambao ni watumishi wa umma na wabunge na makada waq chama tawala ambao walikuwa kambi ya Sumaye wakati wa Mchakato wa kupata Rais kwa tiketi ya CCM.

watu walikula na kuchoma mbuzi kusherehereka kuanguka kwa mtu aliyewamaliza.Wat goes around comes around.

Kama ni kweli basi amepoteza muda wake bure! Yeye SUmaye ni Fisadi tu kama EL tofauti ni kuwa yeye alikuwa Waziri Mkuu wakati wa Utawala wa BWM ambao uliwakumbatia na kuwasafishia njia mafisadi.

Ni vema ajue naye pia atakinywea kikombe hicho hicho ikiwa JK atakuwa ana nia ya kweli ya kupambana na wote walioitafuna Sangara wetu (nchi yetu) na kutuachia mapanki!
 
Kama SUmaye angekluwa mchafu mithili ya Lowassa,Je angeweza kubaki mpaka hivi sasa?Tumuache apumzike kwa Amani.Ni bora Lowassa kang'oa sababu amedhihilisha malipo ni hapa Duniani
 
mi nimeona nisome hii habari ya 2008 leo 2016 .... nimesoma kimya kimya
 
mi nimeona nisome hii habari ya 2008 leo 2016 .... nimesoma kimya kimya
 
Funzo tunalopata hapa ni kuweka akina ya Maneno, Chadema walipomshikia Bango Lowassa hawakuwaza kuwa ipo siku atapeperusha bendera ya chama chao kwenye Urais. Hata huyu January Makamba waweke akiba ya maneno hatujui 2025 itakuaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom