SUMATRA yasitisha mabasi 14 ya Dar Express

mambo hayo yameanza watu wa kasikazini kupigwa vita . na haitaishia hapo mambo tutajuzana t
icon6.png
u.
 
kweli nchii hii imeoza ajali tatu kwa mwaka unamfungia what about sumry aboot mohamed trans aise hii kali ya mwaka kuna namna hapo imetendeka kumdhoofisha dar exp hasa kuelekea kipindi hichi
 
Nadhani kuna haja ya Dar Express kuanza kuanda Kesi ya Madai ya kupoteza mapato pamoja na kuingia gharama za kuendelea kulipa mishahara kwa madereva wao na wafanyakazi wengine kipindi hiki cha kusitishiwa Biashara na SUMATRA.
Katika hali ya kawaida huwezi sitisha Biashara ya mtu jumla namna hiyo maana magari yaliyohusika kwenye ajali na madereva waliokuwa wakiyaendesha wanajulikana hivyo wanageanzia hapo na kama wataona kuna matatizo wangeweza kukagua magari yote kwa awamu na madera wake.

Hapo tayari kunaonyesha kuna harufu ya Rushwa na mchezo Mbovu wa Kibiashara .

Zinedine
Haya ndo madhara ya kuwaweka waliokimbia maths katika nyazifa zinazohitaji uwezo mkubwa wa ku-reason ili kuja na sababu halisi na za msingi kwenye matukio yanayogusa watu wengi. Ivi ukitilia shaka jambo kinachofuata ni hukumu, kuna haja kweli nyie Sumatra kutuambia mnatilia shaka sifa za madereva wakati sifa za udereva ziko wazi?na kama ni walevi si mkawapime, au hizo gari zinaendeshwa na msukule so wanaoendesha hawajulikani wala hawaonekani? Acheni u....ga nyie Sumatra, hata hizo ajali mlizo-account zinavyoonyesha zinatokana na huo ubabaishaji wa Serikali kutojenga service road za waenda kwa miguu au waendesha baiskeli katika maeneo ya makazi ya watu ambapo barabara kuu zinapita.
 
Nanukuu ''mamlaka inatilia shaka sifa za madereva wa kampuni ya mabasi dar express'' nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa summatra,hivi wanafikiri mmiliki wa dar express ni mjinga kiasi gani akampe gari yake dereva asiyekuwa na sifa? hicho kitu hakiwezekani kabisa kutokana na dhamani ya gari zake kama vile scania izira ambazo mpaka sasa hakuna mbongo mwingine aliyeweza kununu ikiwa mpya hata used walishindwa wakaishia kwny marcopolo used, na sasa ameingiza kitu Benzi,bongo nzima hakuna hii,leo uje useme anaajiri madereva wasiokuwa na sifa? gari zake sio yutong au malori ya kuchongea body pale quality grp,malva,banbross or maste kule kenya.sumatra watoe sababu za msingi waache ubabaishaji. Hao watu mmoja mmoja waliogongwa kwa kanuni za udereva tena hasa ule wa abiria ni bora kumgonga mkatiza barabara mmoja akafa kuliko kumkwepa ukaangusha gari ukaua hamsini. Sijui hawa sumatra viongozi wake wamesoma wapi.au kwa sababu mmiliki wa dar exprss ni mlokole na hatoi rushwa?
 
mambo hayo yameanza watu wa kasikazini kupigwa vita . na haitaishia hapo mambo tutajuzana t
icon6.png
u.

Sishangai na hapo. R1 na timu yake wako kazini nini!.Maana hii ni hujuma ya moja kwa moja.Nashauri Dar Express kutoa taarifa kwa vyombo vya Habari na kuwajuza wateja wao nini hasa KINAENDELEA .
 
Naona Labda sio Kweli Kwani Kama ni Kweli Huu Lazima Uwe Uendawazimu!!
 
Nanukuu ''mamlaka inatilia shaka sifa za madereva wa kampuni ya mabasi dar express'' nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa summatra,hivi wanafikiri mmiliki wa dar express ni mjinga kiasi gani akampe gari yake dereva asiyekuwa na sifa? hicho kitu hakiwezekani kabisa kutokana na dhamani ya gari zake kama vile scania izira ambazo mpaka sasa hakuna mbongo mwingine aliyeweza kununu ikiwa mpya hata used walishindwa wakaishia kwny marcopolo used, na sasa ameingiza kitu Benzi,bongo nzima hakuna hii,leo uje useme anaajiri madereva wasiokuwa na sifa? gari zake sio yutong au malori ya kuchongea body pale quality grp,malva,banbross or maste kule kenya.sumatra watoe sababu za msingi waache ubabaishaji. Hao watu mmoja mmoja waliogongwa kwa kanuni za udereva tena hasa ule wa abiria ni bora kumgonga mkatiza barabara mmoja akafa kuliko kumkwepa ukaangusha gari ukaua hamsini. Sijui hawa sumatra viongozi wake wamesoma wapi.au kwa sababu mmiliki wa dar exprss ni mlokole na hatoi rushwa?

Dah Mkuu hii basi aina ya izira haipo duniani na kama ulikuwa unamaanisha IRIZAR zipo nyingi tu hata Lucky Star anazo kama nne zinapiga Mwanza Dar
 
Leo asubui nimesikia katibu wa wamiliki wa mabasi akilalamikia hili suala wamesema waechoshwa na ukiukwajiwa makusudi wa sumatra, hakuna seria waka kanunu inayosema kuwa dereva akigonga pikipiki barabarani anakamatwa mmiliki wa magari na kufungiwa magari 14 kwa maramoja wameshoshwa na ikiwa sumatra hawata jirekebisha basi wao kama wamiliki wa magari watashindwa kuhudumia wananchi sio kuwa WATAGOMA bali WATASHINDWA KUTOA HIYO HUDUMA YA USAFIRISHAJI!!!

sasa nimejiuliza sana sipati jibu tangu january hadi sasa ni november magari mangapi yameuwa watu zaidi ya mmoja na hayafungiwa iweje mwendesha pikipiki mmoja asababishe hasara ya billions kwa mabasi 14???? hivi watanzania tunaelekea wapi???

au ni kwasababu darexpress huwa sio muhongaji mzuri sasa wameamua kumkomoa!!
 
Back
Top Bottom