Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 705
- 1,369
Napingana na wewe bado hawajaboresha kiasi cha kutosha route ya muhimbili mbezi.... utaratibu wa kupanda gari kwa foleni unasumbua sana foleni ikiwa ndefu pia gari za muhimbili gerezani ni usumbufu mkubwa asubuhi unafika fire gari hamna......Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ambacho sio haki kabisa yaniiHili zoezi ni toka Jumatatu, hakuna Mbezi - Mihimbili.
Mfano mtu anayetoka Suka kwenda Manzese inabidi atumie sh 1,050 kwa route fupi vile, dah!
Allah ndy nini?Ila huu ni upumbavu jamani,ivi hawa Sumatra akili zao wamezielekeza wapi,chini ama juu,Wakumbuke tupo kwenye soko huria hayo mabasi yao ya Mwendokasi hayana faida yoyote ile zaidi ya uzembe,Au kwa vile wao wanamishahara mikubwa na Allah amewajaalia magari,Sasaivi itakuwa kama mtu unamgonjwa pale Muhimbili itakubidi umtembelee mara moja tu tena ni jioni,Viongozi wetu wa kitaifa na hao wenye mamlaka walitizame swala hili kiumakini kabisa
Hili zoezi ni toka Jumatatu, hakuna Mbezi - Mihimbili.
Mfano mtu anayetoka Suka kwenda Manzese inabidi atumie sh 1,050 kwa route fupi vile, dah!
matatizo matupu.
Kimara mbez kuna tatizo bado,kwingineko nadhan wamejitahid na kupunguza folen ni matunda ya mwendokas,matatizo ypo lkn kna unafuu,wakati mwingine tupongeze yale mazuri.Napingana na wewe bado hawajaboresha kiasi cha kutosha route ya muhimbili mbezi.... utaratibu wa kupanda gari kwa foleni unasumbua sana foleni ikiwa ndefu pia gari za muhimbili gerezani ni usumbufu mkubwa asubuhi unafika fire gari hamna......
Jioni mwendokasi inasumbua sana wengine hatupendi kubadili magari bora upande moja hadi mwisho sababu ukifika kimara mwisho kwenda mbezi foleni ipo palepale na morogoro road foleni sio kama zamani
Wanachofanya ni udikteta pesa yangu kwanini unipangie aina ya usafiri????? Tunatawaliwa na viongozi wenye utapiamlo wa kufikiri, hovyo sana... sijui wanategemea hao matajiri wa magari na waliowaajiri wakale wapi. Nchi imekua ya kipumbavu sana hii ukifatilia kila kitu unaweza pata msongo wa mawazo bila kujijua.
Uzalendo my ass.
Unatumia ticket ile ile kivipi mkuu, ama ukifika fire hutoki ndani ya ile checkpoint yao?Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ushuke fire,upande tenaKwahiyo kuna gari ya mwendokasi Kimara-Muhimbili bila ya kuunganisha?
Kumbuka tupo kwenye soko huriaRoute ambayo UDART wanahudumia daladala zinatolewa. Huu ni mwanzo, mwisho wake daladala zote zitatolewa. Vinginevyo hakukuwa na sababu ya huu mradi.
Hayo magari yapo mengi kiasi gani,ivi ushawahi kupanda haya mabasi na ukaona izo keroMkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio msiwape sasa, mjifunzegeNchi ni yetu sote, wanakuja kutuomba kura wakitunyenyekea, tukiwapa wanatunyanyasa!
Ukifika fire unatakiwa ubaki stand mulemule ndani gari ikija unapanda tuu.Unatumia ticket ile ile kivipi mkuu, ama ukifika fire hutoki ndani ya ile checkpoint yao?
Huyo mgonjwa utamuonaje sasa au kuna route ya mwendokasi inayofika muhimbili kabisa? Inayoanza fireUkifika fire unatakiwa ubaki stand mulemule ndani gari ikija unapanda tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najilaumu kutokujua "Daa", hebu nielewesheni kulikuwana "mizizi" gani kati ya Mbezi na Muhimbili ambayo Sumtra wameiondoa?!Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili je wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mmiliki na muumbaji wa hii dunia,sie wote ni wa Allah