Nakusoma sana. Hata katika matumizi sahihi ya lugha. Unajitahidi kuweka sawa. Sema thread unazochangia au kuanzisha za CCM. Yan nakuwa nashangaa kabisa..
Kwa sababu umedanganywa kuwa CCM haina mema, wakati hata kuwemo humu mitandaoni wakati tunaotaka ni kwa jitihada za serikali hiyo hiyo inayoongozwa na CCM.
Hapo sasa ndo unapokosea. kuwepo humu inatokana na maendeleo ya teknolojia na utandawazi. Nikuulize swali hivi CCM imechangia vipi maendeleo ya teknolojia?!
Bei za mafuta ndiyo chanzo kikuu cha mfumuko wa bei, fanya kautafiti japo kiduchu.
Usisahau daladala inavibali vya kutosha kilakodi utaikuta kwenye daladala vibali zaidi ya 5. Ukienda kugusa try 1 sio chini ya laki 270000, service ilikuwa elfu 60,000 sasa hivi ni 103000 kwamtu anae jali gari yake srvce ni every 20 days. Mwisho wa mwezi hujamlipa drvr. Navitu vingine vidogo vidogo unaweza ukachanganyikiwa magari tunayo agiza ni used kwahiyo tegemea matengenezo kila mara.
Daladala haipumziki kilasiku ipokazini kwahiyo matengenezo ya Mara kwa Mara ni kawaida na ndiohapo utakapojua gharama za uendeshaji zilivyokuwa juu.
toka zako
na thread za kidiniNakusoma sana. Hata katika matumizi sahihi ya lugha. Unajitahidi kuweka sawa. Sema thread unazochangia au kuanzisha za CCM. Yan nakuwa nashangaa kabisa..
Yote hayo usemayo yakifanyika na bei ya mafuta iko juu, usisahu hilo.
Sasa bei ya mafuta imeshuka na nauli ni lazima ishuke. Si daladala tu hata mabasi ya kwenda mikoani.
Hiyo teknolojia bila kufanyiwa kazi unafikiri inajileta yenyewe? Mbona wakati wa Nyerere wakati dunia nzima kuna vituo vya TV kwetu ikawa hakuna? Fikiri.
Usisahu = Usisahau.
Kwahiyo FF wewe kwa mtazamo wako unadhani nauli iwe shilingi ngapi? Hii yasasa kwa upande wa biashara mimi nadhani sio mbaya wala sio nzuri. Kwasababu hata hayo mafuta yamepungua kwa kiasi kidogo tu, hayana impact yoyote katika kupunguza gharama za uendeshaji, ngojanikuambiekitu kilasiku ukienda sheli kabla bei haija pungua unajaza mafuta ya 65000 up to 70000 kwasasa kunatofauti ya sh: 4000 hadi 5000. Kwahiyo nauli itashuka kwa sh ngapi ili kufidia hii elfu 4000, labda ishuke iwe sh 385. Ndio itakubalika na wafanya biashara.
Sasa Faiza Foxy, kitu cha ajabu sana kulinganisha teknolojia na kubadilishana utawala wa CCM. Teknolojia imeanzia mbali sana na inabadilika kulingana na wakati.. tulikuwa analog sasa tupo digital?? Je mchango wa CCM hapo ni upi?! tulikuwa na computer kubwa ambazo hazihamishiki sasa tuna laptop, tab, simu una acces ya internet.. kuna internet zilikuwa slow sasa Tupo 3G internet accessibility?? mchango wa CCM ni upi?? usikariri kila kitu CCM unajiabisha mkuu
300 tu.
Hahahahaha we, we, we. Mia 3. Mhmm hebu nunua daladala alafu uone inavyokuwa. Alafu hesabu utataka sh ngapi?. Nimecheka hiyo mia 3 nimenifikirisha mbali we achatu.
Hiyo teknolojia bila kufanyiwa kazi unafikiri inajileta yenyewe? Mbona wakati wa Nyerere wakati dunia nzima kuna vituo vya TV kwetu ikawa hakuna? Fikiri.
We kweli mwehu...mwehu haswaa..ndo wale eanadai ccm imewazaa na kuwalea...kichefuchefu tupu
We kweli mwehu...mwehu haswaa..ndo wale eanadai ccm imewazaa na kuwalea...kichefuchefu tupu
Tena SUMATRA inabidi waangalie uwezekano wa kushusha nauli zote za mabasi kwani mafuta yameshuka bei.
Tena SUMATRA inabidi waangalie uwezekano wa kushusha nauli zote za mabasi kwani mafuta yameshuka bei.