mbagala na tmk kwa ujumlaMbona wamenyima wa kutoka buguruni na tabata .
Nayo niliisahaumbagala na tmk kwa ujumla
Ziwekwe Na hizisafi sana
Waneisahau huko sehemu za watu wengi ndio huwa Na wagonjwa sanambagala na tmk kwa ujumla
kweli mkuu itakua poa sanaZiwekwe Na hizi
Gongolamboto mloganzila,kibaha mloganzila,Ferry Mlongazila,Kariakoo mlongazila,Mbagala mlongazila,Temeke Mlongazila,Tandika Mlongazila,Msasani Mlongazila,Mburahati Mlongazila,Manzese Mlongazila,Buguruni Mlongazila,Tabata mlongazila
Mamlaka ya Usimamizi Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imezitangaza ruti mpya za kufika Mloganzila
Wakazi wa Jiji la Dar wataweza kutoka Kawe - Mloganzila kupitia barabara ya Sam Nujoma na Morogoro
Pia Kawe - Mloganzila kupitia barabara ya Bagamoyo na Goba
Makumbusho - Mloganzila kupitia barabara ya Sam Nujoma na Morogoro
Makumbusho - Mloganzila kupitia barabara ya Bagamoyo na Goba
Aidha zitakuwepo Daladala za kutoka Mloganzila - Tegeta Nyuki kupitia Goba, Madale na Wazo Hill
Daladala nyingine zitatumia barabara ya Bagamoyo kupitia Masana zikifanya ruti ya Tegeta Nyuki - Mloganzila
Tabata Kimanga - Mloganzila kupitia Maramba Mawili
Mbona wamenyima wa kutoka buguruni na tabata .
nauli yake bei ngapi?? maana kwa hapa mjini nauli kubwa kuliko zote ni 750 kwa ruti ndefuWangeweka na route moja ya Kibamba - Mbagala
iwe kibamba ubungo buguruni mbagala ya kwanza .ROUTE ya pili iwe iwe Kibamba Mbezi tabata Airport buza Tandika Mbagalakupitia Ubungo?