SUMATRA na mabasi ya shule yanayobeba wanafunzi

SUMATRA na mabasi ya shule yanayobeba wanafunzi

olympio na diamond zina watoto wengi mno halafu mabasi ya shule machache wanajazwa kwenye mabasi mpaka wengine wanakaa kwenye ile platform ya kioo cha nyuma kule kibasila utaona idadi ya watoto wanaosubiri mabasi ni kubwa sana kuliko mabasi yanayowasubiri
SUMATRA wanasubiri DCM lianguke tena, ili wabunge waanze tena kugombea kuongea msibani?
 
In fact, hao wanne ni wengi sana. Alipaswa kuwa mmoja zama hizi dereva na PS wa nn?
siku hizi uwe bosi kazini au umejiajiari, wewe ndiyo kila kitu, kuchapa barua, kufaili, kusafisha ofisi (iwe gari, container,frame n.k.) potelea mbali, kila kitu wewe, udereva, baba, mume/mke, kupika, kuosha vyombo, chochote kile, jembe jembe, tena swala la mahausigeli/boy litapitwa na wakati, [HASHTAG]#hapakazituu[/HASHTAG] dunia imebadilika mno, lazima nasi twende na wakati..
 
W
siku hizi uwe bosi kjiari, wewe ndiyo kila kitu, kuchapa barua, kufaili, kusafisha ofisi (iwe gari, container,frame n.k.) potelea mbali, kila kitu wewe, udereva, baba, mume/mke, kupika, kuosha vyombo, chochote kile, jembe jembe, tena swala la mahausigeli/boy litapitwa na wakati, [HASHTAG]#hapakazituu[/HASHTAG] dunia imebadilika mno, lazima nasi twende na wakati..
at Matu mavivu hii hawaiwezi..wavivu kupindukia...unakuta hata mwanamke anahongwa apartment...badala ya kujiongeza anaomba na housemaid. Unakuta personal Secretary government servant anachezesha upatu ofisini..yaan hiyo ndio kazi yake akiingia hadi kutoka....mabosi wanawaacha tu.
 
HiLi la mabus lina sura mbili. Sura ya kwanza mabus mabovu ya Pili wanakodi daladala. Ajabu eti wanao kodi daladala nao wamepigwa marufuku kubeba wanafunzi wakati wana stika za sumatra.upande wa Daladala zinajaza balaa Bus za kubeba watu 60 zinabeba mbaka 100. Mfano mwendo kasi zinavyojaza kupita kiasi nazo si tatizo? Maana wanfunzi tunaowakataza wasijazwe kwenye mabus wanahamia kwenye daladala wanajazwaa vile vile ahh ahh this country bwana
 
olympio na diamond zina watoto wengi mno halafu mabasi ya shule machache wanajazwa kwenye mabasi mpaka wengine wanakaa kwenye ile platform ya kioo cha nyuma kule kibasila utaona idadi ya watoto wanaosubiri mabasi ni kubwa sana kuliko mabasi yanayowasubiri
Labda uelewa wangu mdogo......Sasa wanafika shule saa ngapi!!
 
Mi upande Wang ningeomba aya mabasi ya uda ikifika sa nane mchana kila siku ya wiki wawachukue watoto wa shule za kayumba seco asee awa watoto wanateseka jaman mtoto anarudi sa tano nyumbani,..
 
Ipo siku tena si nyingi kama tusipochukua hatua sasa tutaomboleza tena.
 
Huwa nashangaa muingiliano wa taasisi hizi za Serikali mara SUMATRA, sijui TRAFIKI na faini zao "Onevu" huku nako HALMASHAURI wanadai ushuru wa STENDI sijui TANROADS kupima uzito (Mizani za Barbarani) kule TRA(Kila Taasis inapata mgao wa VX/ Nissani Patrol SUV "Nyeupe" a.k.a SHANGINGI kwani haiwezekani kuweka majukumu yote haya kwenye taasisi moja?
 
Mamlaka tajwa kwa nini hamkamati school bus mbovu zinazojaza wanafunzi kama nyanya kwenye matengo, kwa kuwasaidia nitaje shule za Dar zenye tabia hiyo;
1. Olympio
2. Bunge
3. Diamond
4. St. Mary's
5.

PIA tuwapongeze TUSIIME kwa weledi wao katika kuendesha shule..Wakora Waitu!
Wewe nafikiri utakuwa wakala wa hiyo shule uliyoisifia,nao wababaishaji tu wa Tabata kule.
 
mpaka litokee janga lingine kuubwa, ndo utaona V* zinaongizana misibani na SUMATRA watatoka huko maofisini
 
Back
Top Bottom