SUMATRA mkoa wa Mara yashamiri kwa rushwa

SUMATRA mkoa wa Mara yashamiri kwa rushwa

Eideed

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
36
Reaction score
35
Ni jambo la kusikitisha kuona Kuna Idara ya Serikali kama SUMATRA Mkoa wa Mara ikilazimsha kila gari hata Private kulipa faini ya Sh laki mbili na nusu ama kutoa rushwa ya shillingi laki moja.

Naomba Waziri wa Uchukuzi afuatilie hili tatizo ambalo limeendelea kufanyika wilayani Tarime. Hizi ni kero ambazo zinafanywa na watendaji wasioitaka mema CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom