SUMATRA Ilala kuna huduma mbovu na za ovyo

SUMATRA Ilala kuna huduma mbovu na za ovyo

Starton

Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
18
Reaction score
14
SUMATRA pale ilala (Mwalimu house) kuna shida ya huduma. Tunaomba wahusika wapatupie jicho kwani malalamiko yamekuwa mengi.Huduma inatolewa kwa kusuasua kama wamelazimishwa na ndiyo maana muda wote wanaohudumiwa wamelundikana kiasi cha kutisha.
Tuna imani kuna uongozi unasimamia kitengo hiki warekebishe hii hali.
 
Mimi nipo hapa sasa hivi kwa kweli panasikitisha.Ukija hapa jiandae kukaa sio chini ya masaa 3 ndipo uhudumiwe.Wana vitendea kazi vyote lakini hatujui shida ninii.Hiki kitengo hakina uongozi ?
Kuna vishoka wanawafanyia kazi watu inaonekana wao wanashughulikiwa kinamna.Hao wanakuja na kuondoka wakiacha watu wamelundikana kwenye chumba.Hali siyo nzuri kwa kweli.
 
Back
Top Bottom