Suluhu ya Matatizo ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suluhu ya Matatizo ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamende, Mar 30, 2010.

 1. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ninajua ukweli kuwa kila mtu mstaarabu anatafuta namna ya ama kuondoa kabisa au kupunguza matatizo ya nchi hii ya Tanzania. Hili ni jukumu letu kila mmoja na kwa pamoja.


  Kwa ajili yangu na kwa wengine wenye nia kamilifu ya kuikomboa nchi ya Tanzania ni lazima tutoe kina cha matatizo ya nchi na hatimaye tuweze kutoa pendekezo la namna ya kutatua matatizo ya nchi yetu.


  Historia inaonyesha wazi kuwa ukubwa wa matatizo ya nchi ya Tanzania unatokana na aina ya siasa zake. Siasa za Tanzania zimetengenezwa na CCM kwa ajili ya wafuasi na wanufaikaji walioko ndani ya chama hicho.


  Ninapenda kusema wazi kuwa kwa kuwa CCM ndio mhimili wa mfumo wa uovu Tanzania basi namna pekee ya uhakika ya kuondoa matatizo ya Tanzania ni kuifutilia mbali CCM. Ndoto zozote za kuikomboa Tanzania kwa kuirekebisha na kuikosoa CCM hazitafanikiwa kamwe.


  I stand to be corrected!!!
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Watanzania tuache kulalama tu take action. Tuache uoga wa kuthubutu. Tusinyooshe watu vidole ilhali sisi ni chance tu tukipata tnaiba kama wao. Jiulize wewe tangu umekuwa na akili zako timamu umefanyia nini hili taifa? hata kumshauri mjumbe wa nyumba kumi hapo home
   
Loading...